Nawapenda sana atoto, valentina, Evelyn Salt na Miss Chaga

sweet darling huku umefikaje lakini? umeona jinsi Heaven Sent alivyokuwa ananikomentia hapo juu!! Huyu mtoto kanishinda tabia.
Hahaha jina lako ni ATOTO M-PESA KABOOM
Naona kuna watu wanataka kusummary maisha yao...Douta ameshakua..Basi ni balaa sasa
Hahaha ndo mumshukuru Mungu kawawezesha mmekuza binti la haja
 
Nimeongea nao wanataka kilo mbili kila mmoja, ni pm fasta nikuunganishe nao wana hamu ya kukuona!

uwiii nimekuwa mkoloni tena!! Nitakunyima! shauri yako.

Ha haa kwa style hiyo lazima mtu apendwe. Umenipa raha jioni hii we mwanamke
 
Kuna dishi moja linajiita jeni lowassa,vp hulikubali mkuu?
 
Wewe vipi....? Umekomali pesa zangu, hupati kitu hapa subiri mamburula waje uwalie vyao.

Mweeeh nshomile kwani mimi nimekuomba hela???
Alafu acha uchoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…