Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mimi napenda KUTAFUTA PESA.
sie wengine tunapenda kuitumia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi napenda KUTAFUTA PESA.
Aaah wapi.....haufi bwana, anakuja kukupa namna ya kutengeneza more money.
Hahaha jina lako ni ATOTO M-PESA KABOOMsweet darling huku umefikaje lakini? umeona jinsi Heaven Sent alivyokuwa ananikomentia hapo juu!! Huyu mtoto kanishinda tabia.
Hahaha ndo mumshukuru Mungu kawawezesha mmekuza binti la hajaNaona kuna watu wanataka kusummary maisha yao...Douta ameshakua..Basi ni balaa sasa
Ndio maana nimesema nyinyi wote sawa....Majibu yako kama wenzio.sie wengine tunapenda kuitumia.
Ntakuua na nini BABY mie sio muuaji, hayo maneno mazito nitalia mieWala usije utaniua.....
Hahaha mbona kumsingizia baby angu jamani, yeye kanikomaza tu na dinner za uwanjani huku mvua inanyesha na mishumaa inawakaHahahaaa!! Tumekuza au Benny ndio kakukuza!!
Nimeongea nao wanataka kilo mbili kila mmoja, ni pm fasta nikuunganishe nao wana hamu ya kukuona!Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
Ha ha ha
uwiii nimekuwa mkoloni tena!! Nitakunyima! shauri yako.
Ha haa kwa style hiyo lazima mtu apendwe. Umenipa raha jioni hii we mwanamke
Aaah wapi.....
Kuna dishi moja linajiita jeni lowassa,vp hulikubali mkuu?Msema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
Akikupa unipasishie namieMie napenda KUTUMIA pesa...hakika mie na wewe tunamatch sana, pm yako ipo wazi au umeweka kakufuli?kuna mambo nikueleze kuhusu hii serikali yetu
Nimeongea nao wanataka kilo mbili kila mmoja, ni pm fasta nikuunganishe nao wana hamu ya kukuona!
Wewe vipi....? Umekomali pesa zangu, hupati kitu hapa subiri mamburula waje uwalie vyao.basi hupendi kutafuta pesa.
Hahaha afu kweli, hii mishumaa lazima iwe imeletwa na mshana kutoka msatahiyo mishumaa mlinunua kwa mshana jr??
Yaani nyie sijui ni ndugu?!!! Na huyo miss chagga yuko mtaa wa tatu huko anawakamua watu hela zao! 🙂🙂🙂Akikupa unipasishie namie
Opportunity at its best! Tuliza mpira kwanza. Ten percent ya malipo ntakugeya!wacha we!!
Mmmh kwa huu huu mkono wa birika alionao???Akikupa unipasishie namie
Wewe vipi....? Umekomali pesa zangu, hupati kitu hapa subiri mamburula waje uwalie vyao.
Hahaha afu kweli, hii mishumaa lazima iwe imeletwa na mshana kutoka msata