- Thread starter
- #81
Unasali wapi? Badili tabia siku moja utapata UKIMWI usipobadili tabia. Kuna jamaa mmoja alikuwa kama wewe sasa hivi ni mwathirika na wenda ashakufa. Na inaonekana unayafanya haya sababu huna mpango wowote kimaisha na unajua ni wakufa tu siku yohote. Unadhani babako asingeoa na kukalia malaya ungezaliwa? Tafakari, chukua hatua na kumbuka malezi ya nyumbani ila kama umelelewa kimalaya endeleza umalaya.
atleast umeongea but as long as i'm still livin it none of your bucnec!