Nawapenda sana malaya

Nawapenda sana malaya

Unasali wapi? Badili tabia siku moja utapata UKIMWI usipobadili tabia. Kuna jamaa mmoja alikuwa kama wewe sasa hivi ni mwathirika na wenda ashakufa. Na inaonekana unayafanya haya sababu huna mpango wowote kimaisha na unajua ni wakufa tu siku yohote. Unadhani babako asingeoa na kukalia malaya ungezaliwa? Tafakari, chukua hatua na kumbuka malezi ya nyumbani ila kama umelelewa kimalaya endeleza umalaya.

atleast umeongea but as long as i'm still livin it none of your bucnec!
 
Unajua shule zimefunga sasa hivi kwa hiyo mara nyingi post za kijinga utaziona tu. Kama hiyo hapo juu, alafu utegemee ufaulu kwa namna hii
 
Unajua shule zimefunga sasa hivi kwa hiyo mara nyingi post za kijinga utaziona tu. Kama hiyo hapo juu, alafu utegemee ufaulu kwa namna hii

bahati mbaya mi sio muumini wa shule kama wewe nimeanza kujtaftia maisha yangu nikiwa na miaka 15, nawalipia ada wadg zangu wawl, xema napumzika kazn wiki hii nitakuelewa.
 
Hivi kama kweli unaweza kuandika xxx nini kinakushinda kuandika sss au kuna ujumbe maalamu wa siri unatumwa kwa malijali. Sielewi mwanaume mzima unatumia x badala ya s.

Shame on you Pochetino.

Tiba
 
Hivi kama kweli unaweza kuandika xxx nini kinakushinda kuandika sss au kuna ujumbe maalamu wa siri unatumwa kwa malijali. Sielewi mwanaume mzima unatumia x badala ya s.

Shame on you Pochetino.

Tiba

shame on you too coz you are selfish! what is your concern if i'm sendin those you are damn said code! foolish TIBA
 
Back
Top Bottom