Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Inahuuuu[emoji108] ?we bikra wa fikra tu
mimi hapa umesahau kunipenda1.Saint vuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr
Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!
Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii
1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu kaka ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu
2.Nyani ngabu
Yani huyu kaka ndio simuelewagi kabisa
Anaishi manzese darajani
lakini anajitamba humu kuwa yupo[emoji631] [emoji631]
Ongezea mwingine .................
Yani huyu Elizabeth [emoji3] [emoji3] [emoji2]Hivi Lizaboni ni Mwanaume,siku zote najua ni Elizabeth Bonifasi(Lizaboni)
Mbona id imekaa na post zake zimekaa kiuwanaume?Mtake radhi Lizaboni kumsema eti ni mkaka! Huyo huwa mdada poa!!
[emoji357] [emoji38]Kwanza niambie una bikra ya wapi maana ya mbele ulishatolewa