Nawapenda sana wanaume hawa wa JF lakini sijui kama wanajua nnavyowazimikia Wallah!

bikira latifa
member
mhhh ??? ??? sio kweli umekuja kivingine..
 
Ungekuwepo kwenye list ungeongea maneno hayo?
Aliweka hii mada si hakika kama ni nwanamme, anaetumia ID ya kike, mimi nimeongeza tu maelezo ya mdau, Denis Denny kama mwenye mada ni mmoja ya wanaume wanautumia ID ya kike, na nikajua hivyo, pamoja uzinzi wangu nisingekubaliana nae. Maana siwezi sisimka kwa kuguswa na mwanamme mwezangu.
 
Una uthibitisho upi kwamba hao uliowataja wote ni wanaume?

Nini kuwazimia kufa kabisaaa?!
 
haya!wewe ni miongoni mwa wanawake nisowapenda kabisa humu jf!!
 
Mambo BeiB yani nilikuwa church aisee.
Ndio nimeona.
Umetisha sana m hata mimi nakupenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…