Nawapenda sana wanaume hawa wa JF lakini sijui kama wanajua nnavyowazimikia Wallah!

Uzi kama hizi zishakuja nyingi sana cha ajabu sijawahi kuwekwa kwa list. Ngoja nikafagilie makuburi ya kwetu. Si bure. Kuna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…