Nawapenda sana wanaume hawa wa JF lakini sijui kama wanajua nnavyowazimikia Wallah!

Nawapenda sana wanaume hawa wa JF lakini sijui kama wanajua nnavyowazimikia Wallah!

Umenisahau na mimi
Naitwa Daimond platnumz, Mengi ni mjomba angu na Bakhresa ni baba angu, Clouds Fm si unaijua? basi Millard Ayo ni mtangazaji wetu katika ile Tv yetu[emoji1]
 
Umenisahau na mimi
Naitwa Daimond platnumz, Mengi ni mjomba angu na Bakhresa ni baba angu, Clouds Fm si unaijua? basi Millard Ayo ni mtangazaji wetu katika ile Tv yetu[emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1.Saint ivuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr

Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!

Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii

1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu

2.Le mburula nation
Huyu baba anatia kichefu chefu jamani
Anajifanya kijana kumbe ni kibabu,, ukimpa ukweli ni lazima [emoji357] litakuhusu
Ongezea mwingine .................
Si useme ukweli tuu. Hupendi mtu yoyote yule aliye ccn hata angekuwa baba yako.
 
Back
Top Bottom