The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Acha wivuBasi hapo Saint Ivuga bichwa linaviiimbaa mpaka nywele zinatibukaa[emoji57]
Bikra mambo vipi lakini. Najua pm yako sa hiv imejaa. Manake bikra kwa hapa tz ni kama almasAcha wivu
Ha ha shekhe kipozeo bwana et mamis itokee tuMie napenda hasa uumbaje wa Allah, hawa mamiss itokee tu.
Wallah hata mimi ndiyo ugonjwa wangu, mwembamba atokee tu. ..Ha ha shekhe kipozeo bwana et mamis itokee tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo jina mimi hoi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyani ngabu
Le mutuz young boy badolemutuz umemsahau
Lv u moore bby
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenisahau na mimi
Naitwa Daimond platnumz, Mengi ni mjomba angu na Bakhresa ni baba angu, Clouds Fm si unaijua? basi Millard Ayo ni mtangazaji wetu katika ile Tv yetu[emoji1]
Yule baba ana mtumbooolemutuz umemsahau
Inahuuuu?
Si useme ukweli tuu. Hupendi mtu yoyote yule aliye ccn hata angekuwa baba yako.1.Saint ivuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr
Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!
Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii
1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu
2.Le mburula nation
Huyu baba anatia kichefu chefu jamani
Anajifanya kijana kumbe ni kibabu,, ukimpa ukweli ni lazima [emoji357] litakuhusu
Ongezea mwingine .................