Nawapenda walevi mafisi yaan walaji vitu vitamu

Nawapenda walevi mafisi yaan walaji vitu vitamu

Saa moja au saa ngapi unataka rfk, maana leo nina vimeo jaman, huyu Boss wangu haoni kama kuna hali ya hewa kali jaman
FB_IMG_1736342844344.jpg
 
Nawasalimu rafiki, nawapenda walevi jaman wanaojua kula vitu vitamu kwa usafi wake. Ni hilo tu, tufanyeni kazi tukutane jioni japo tupige story mbili tatu maeneo ya Shoppers tunywe kahawa nitalipa bill mimi kwa mtu mmoja, ni karibu na maeneo ya Morena wenyeji mtaelewa
Mimi hapa, unilipie hiyo kahawa halafu uende ukanipe nile hivyo vitu vitamu kwa usafi wake.
 
Back
Top Bottom