Nawapenda walevi mafisi yaan walaji vitu vitamu

Nawapenda walevi mafisi yaan walaji vitu vitamu

Usiyachukulie Na Wala Kuyazingatia Kwa Umakini Mnoo Mambo Ya Mitandaoni Utaubughudhi Moyo Wako,,,
Kabisa atafute pesaa imuondelee stress, mambo yasiyomuhusu asiyaweke akilini ila nilichojifunza watu wengi wanaofuatilia mambo ya watu ndio hao hawana hata heshima ya mfuko, akawii kukupiga mzinga, mifuko imefilisika kwa kweli, ila wenye ambao wamejipata wala huwezi ukawaona wanazungumza habari za mtu labda uguse hazina yake ndio ataonyesha makucha yake
 
Huyu jamaa sijui huwa anawaza nini?
Mwenye mawazo ni wewe unaenifikiria huna majibu maana unajiuliza hata ninachowaza hujapata jibu wakati mwenzako mm niko fresh kabisa sina stress, na kesho au leo jioni account yangu inasoma, kwa raha zangu rfk.
 
Wadau Wa Mitandaoni Ni Hatari Kwa Afya Yako Ukitaka Kuwaleta Katika Uhalisia Wa Kimaisha,,Wakati Wao NI Fake Kwenye Maisha Ya Humu Kwenye Jukwaa
Asilimia kubwa ila mimi humu niko huru kabisa na nafurahia kuwa humu kunaniondolea stress jaman
 
Tupo ulimwenguni huwezi kutaka watu waishi utakavyo ndio maana kama unavyosema tunaishi n watu wenye hulka na tabia tofauti tofauti
Tatizo tundazuri huko mtaani unaishi kama mwanaume huku kisirisiri watu wanakufukua ndio maana unapata shida kupata mabasha mpaka utafute mtandaoni.
 
Back
Top Bottom