Nawapenda walevi mafisi yaan walaji vitu vitamu

Nawapenda walevi mafisi yaan walaji vitu vitamu

Nyie ndio mnakuja kuharibu Arusha yetu
We nawe, Arusha imeharibiwa na watalii unanisemea mimi. Nimesoma masters nina exp na huko, infact Arusha umeiharibu wewe mwenyewe unaekera watu, watu wanajishughulisha na mambo yao ila wewe unatakakujishughulisha na mambo yao
 
Tatizo tundazuri huko mtaani unaishi kama mwanaume huku kisirisiri watu wanakufukua ndio maana unapata shida kupata mabasha mpaka utafute mtandaoni.
Ephen 😂😂 km ni mzurii km hiyo dp yake hakosii mtu huyu ttzo

Ni wanafanya umalaya ndo shida kila atakaye muona anajua anaweza kuwa basha
 
Tatizo tundazuri huko mtaani unaishi kama mwanaume huku kisirisiri watu wanakufukua ndio maana unapata shida kupata mabasha mpaka utafute mtandaoni.
Jamn kumbe natafuta Basha na mm sijui jaman, mbona mabasha wapo wengi nikitaka nawapota sema sio kila dyudyu za kukimbilia, ndio tamu ila zinachakaza kwa kweli, hapa najitunza mimi. Tukutane golden folk😜 kesho kwa dinner
 
Mwenye mawazo ni wewe unaenifikiria huna majibu maana unajiuliza hata ninachowaza hujapata jibu wakati mwenzako mm niko fresh kabisa sina stress, na kesho au leo jioni account yangu inasoma, kwa raha zangu rfk.
Looh account yangu imefilisika kabisa mwezi huu 😢😢😢
 
Uliweza kuonana na your luckiest dude Jana nataka nizungumze na wewe kwa kina ndo upo busy na wabunge kusaka shekeli 😝
Jaman mm nitake radhi, mimi sijisell jaman, hela yangu inanitosha kwa kweli, na hiyohiyo nagawanya na wahitaji, nimejifunza kushare kidogo na watu wenye mazingira magumu hata kama ni kidunchu, humu najipa furaha sio kwamba najiuza rafiki, naridhika n jasho langu na sichukue hela ya mtu labda anipe yeye hahaha
 
Uliweza kuonana na your luckiest dude Jana nataka nizungumze na wewe kwa kina ndo upo busy na wabunge kusaka shekeli 😝
Kwa kweli nilikuwatana na mtu humble sanaa tulikunywa cuppuchino na cookies tukaagiza na wali nyama nyama tukala tukaondoka kila mtu na njia yake hahaha. Au unataka picha?
 
Ephen 😂😂 km ni mzurii km hiyo dp yake hakosii mtu huyu ttzo

Ni wanafanya umalaya ndo shida kila atakaye muona anajua anaweza kuwa basha
Jaman mm sifanyi hivyo unaniwazia vibaya hahaha, kwanza huo muda ninao wa kujisell sell hhahaah, natoka kazini nimechoka hadi kwenye naniliu, sasa nitaji'sellsell saa ngapi, unataka heshima yangu ishuke jaman
 
Nawasalimu rafiki, nawapenda walevi jaman wanaojua kula vitu vitamu kwa usafi wake. Ni hilo tu, tufanyeni kazi tukutane jioni japo tupige story mbili tatu maeneo ya Shoppers tunywe kahawa nitalipa bill mimi kwa mtu mmoja, ni karibu na maeneo ya Morena wenyeji mtaelewa
Aya sasa wakazi wa tambukareli na viunga vyake nendeni mkapate japo kahawa!
 
Jaman mm sifanyi hivyo unaniwazia vibaya hahaha, kwanza huo muda ninao wa kujisell sell hhahaah, natoka kazini nimechoka hadi kwenye naniliu, sasa nitaji'sellsell saa ngapi, unataka heshima yangu ishuke jaman
Sijasema unajiuza tunda zuuuh Ila btms wengi ndo walivyo!!

Nna maswali na wewe
 
Nop
Jaman mm nitake radhi, mimi sijisell jaman, hela yangu inanitosha kwa kweli, na hiyohiyo nagawanya na wahitaji, nimejifunza kushare kidogo na watu wenye mazingira magumu hata kama ni kidunchu, humu najipa furaha sio kwamba najiuza rafiki, naridhika n jasho langu na sichukue hela ya mtu labda anipe yeye hahaha
unajua Kuna mtu ukikutana naye hukosi Tip!! Bado Nina taka conv na wewe
 
Back
Top Bottom