Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
- Thread starter
- #141
Wk end
Wk end nitakunywa red wine ili nilegee vzr, unajua red wines zinaleta genye jaman, ndio kinywaji changu cha ijumaa kwa kweli, Jumamosi nakunywa vingine, Jumapili nakunywa Juice na wine kidogo au soda, sitaki na sipendi kuingia kzn na hang overUtakunywa nini boss!