Mara nyingi sana πUmewah kupasikia lkn?
Basii ushapata jibu πMara nyingi sana π
Saa moja au saa ngapi unataka rfk, maana leo nina vimeo jaman, huyu Boss wangu haoni kama kuna hali ya hewa kali jaman
ππΏππΏππΏMshana shikamoo kaka yangu
Kaka wa dory unapotea sanaKuna jamaa alikua anakutafuta kule jukwaa la burundi
Nipo mkuu..Kaka wa dory unapotea sana
Toka kijana wangu tunakutegemea ticha au maake hapo sijui Nan single mazaNipo mkuu..
Nipo na single maza huku mtaani yanai hata kazi kwenda imekua ngumu
Kasema ana kazi ngoja ajeMkuu iko wapi?
Mimi hapa, unilipie hiyo kahawa halafu uende ukanipe nile hivyo vitu vitamu kwa usafi wake.Nawasalimu rafiki, nawapenda walevi jaman wanaojua kula vitu vitamu kwa usafi wake. Ni hilo tu, tufanyeni kazi tukutane jioni japo tupige story mbili tatu maeneo ya Shoppers tunywe kahawa nitalipa bill mimi kwa mtu mmoja, ni karibu na maeneo ya Morena wenyeji mtaelewa
Heeee, kumbe tayari nimeshawahiwa?Jaman naomba unitunzie kimiminika asali usije mwaga buree
Mnanifurahisha kinoma πHeeee, kumbe tayari nimeshawahiwa?
Sio ticha huyu ni mwingine.. naogopa kumtambulisha maana nahisi ana ndgu wake hukuToka kijana wangu tunakutegemea ticha au maake hapo sijui Nan single maza
πππ Kwan anajua wee ndo poor brain!Sio ticha huyu ni mwingine.. naogopa kumtambulisha maana nahisi ana ndgu wake huku
Nikitaja jina lake tuu atanijua maana...πππ Kwan anajua wee ndo poor brain!
Ukiskia umekamatwa vibaya πNikitaja jina lake tuu atanijua maana...
Sema nini tatambulisha jina sio mda baada ya kumega tunda
Ahahaha yaani wee acha tuu mkuu...Ukiskia umekamatwa vibaya π
ππππAhahaha yaani wee acha tuu mkuu...
Sema daah huyu ataniuwa anasema ijumaa anakuja kunipa kila kituuuu