Acha kukariri na wewe, mpenzi haimaanishi mtu mnaeshiriki tendo la ndoa, sijui unaelea? Hujawahi kuandika barua ya kazi ukaandika dear sir/madam? Inamaana huyo sir na madam ni wapenzi wako? Kwanza uko darasa la ngapi? Yawezekana naongea na mtu mwenye upeo mdogo, mtu akisema hivyo maana yake ameshimu ulichoandika