Mashabiki wa Simba wanapangwa na mashabiki wa Yanga bila wao kujielewa,
Kwanza wameaminishwa jersey mbaya, saiz wanaambiwa wasiende uwanjani et Mangungu anakuona Nyani? Kwan wew unaenda kwa ajiili ya team au kwa ajiili ya Mangungu?
Nenda kasapoti team yako, ugomvi wenu mtausolve tu, sasa usisapot team yako saizi mfungwe mtolewe CAFCL kisha mwakani mpatane mtakuwa mmepata nn?
Ni sawa na mzazi kugoma kulipa ada kisa umegombana na mtoto, halaf baada ya miaka miwili unapatana nae huku ashapoteza vingi