Nawapongeza mno Mashabiki wa Simba SC kwa Walichokifanya na Wanachokifanya

What if inafungwa tena tena zaidi ya 3 utawapa excuse gani mashabiki wakuelewe

Hapa sasa nikuchana jezi na kuingia officen kwa viongozi kutembeza bakora tutakuwa wajinga kama watapigwa na leo mkuu!!!! Ila leo tuwape sapoti
 
[emoji16][emoji23] wapigwe bakora sindio ngoja tuome kama tunachomoka
 
Back
Top Bottom