Nawapongeza mno Mashabiki wa Simba SC kwa Walichokifanya na Wanachokifanya

We bwana lala
 
Kinachofanya akina Mangungu na Try again waendelee na dharau ni kwasababu Kuna mashabiki wasiojitambua. Na hao ndio akina Mangungu wanayaona nyani na kuyadanganya watamleta Manzoki ili mpigie kura.
Mashabiki wanaojitambua ni wale wanaoenda uwanjani kuishangilia timu yao, wanaonunua jezi nk, sio madhabiki wa keyboard
 
Nimefahamu kuwa wewe si MWENZETU, kwa kwa maneno haya…. "VIONGOZI WENU WANAWAONA NYANI"!
Sikuhusika kuwachagua ndio maana kila siku nalaumu wanachama wenzetu wa dar

Waliomchagua Mqngungu kisa amemleta manzoki kwenye uchaguzi

Tazama matokeo ya kuongozwa na viongozi wabovu
._Tumesajiri kwa mihemko matokeo yake tuna team mbovu
-Tumefungiwa usajiri kiajabu ajabu afu viongozi wanatoa maelezo utazani hawakua na taarifa
 
ONDOA POROJO ZAKO ZA KICHAWI HAPA. UWANJANI TUTAENDA UTAKE USITAKE.
 
wapumbavu tu pekee ndiyo wataenda
Kwan wew unagomea nin ili tujue???

Kama kufungwa man u alishafungwa goal kibao na Liverpool juz tu hapa na hatukuona harakati hizi.

Nan hajawah shushwa au kufungiwa kusajili, chelsea hata juve imewajuta na kushushwa madaraja.

Juz epl league bora kwa mvuto unaona Everton anakutana na rungu lakin kote hulo hatukuona mashabiki wakileta pumba hizi.....

Tell us wat you want, tukusaidie!!

Kama hutasema tutajua upo UTO na umekuja kutuvuruga
 
Kwakweli kwa shabiki wa simba asiye mjinga asiende uwanjani

Viongozi wenu wanawaona nyani.
M naona mashabiki wajinga ndio wasiende uwanjani,
Umefungwa game moja unasusia kwenda uwanjani?
Hayo ni matako au
 
Mangungu anakuona nyani
Mashabiki wa Simba wanapangwa na mashabiki wa Yanga bila wao kujielewa,

Kwanza wameaminishwa jersey mbaya, saiz wanaambiwa wasiende uwanjani et Mangungu anakuona Nyani? Kwan wew unaenda kwa ajiili ya team au kwa ajiili ya Mangungu?
Nenda kasapoti team yako, ugomvi wenu mtausolve tu, sasa usisapot team yako saizi mfungwe mtolewe CAFCL kisha mwakani mpatane mtakuwa mmepata nn?


Ni sawa na mzazi kugoma kulipa ada kisa umegombana na mtoto, halaf baada ya miaka miwili unapatana nae huku ashapoteza vingi
 
Sawa ila tungepata viongozi wenye akili timamu team isingekuwa hivi
 
Mashabiki wa yanga waliitwa wala mihogo na viongoz wao hao hao lakini ikapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…