Nawapongeza mno Mashabiki wa Simba SC kwa Walichokifanya na Wanachokifanya

Yan issue ya viongozi haisolviw kwa niny kutoenda uwanjanj
Tunaisovu vp mkuu maana maandamano hayatoruhusiwa...

Vurugu ingefaa ila si utamaduni wetu

Maana viongozi wanaharibu team na wanajua hatuna cha kuwafanya

Ndio maana njia nzuri ni kutokwenda uwanjani
 
Kinachofanya akina Mangungu na Try again waendelee na dharau ni kwasababu Kuna mashabiki wasiojitambua. Na hao ndio akina Mangungu wanayaona nyani na kuyadanganya watamleta Manzoki ili mpigie kura.
Mo ndio anazingua timu
 
Mashabiki Bora afrika wamesusa jamni 🤣🤣🤣
 
Huyo ni mpuuzi shabiki oya oya wala haujui mchezo wa mpira,kaanza kushabia ukubwani. Hakuna mpenzi wa mchezo wa mpira na mshabiki kindakindaki wa timu yake akaisusa na kuikejeli mitandaoni. Nakumbuka yule mshamba mwasisi wa jina utopolo, aliitukana timu hadi ikabatizwa jina maarufu la utopolo. Huo ni ushamba.
 
Hili nilishalisema hapa mashabiki wa Simba wanaimbishwa wimbo wasiojua na washabiki wa gongowazi. Na ukichunguza utakuta hata mpira wenyewe hawaujui ndiyo maana wanachezwa shere na watopolo na wenyewe wanajaa kwenye kilengeo. Sisi washabiki na wapenzi wa mchezo tumeumia kweli kweli lakini tuko na timu yetu kwani shabiki wa kweli hawezi kuhama. Simba tumeipenda iwe huzuni iwe furaha.
 

Mkuu kweli simba imefanya vbaya mechi2 za mwisho lakini kutokwenda ndo watafanya vbaya zaidi....!!!!! Tuende uwanjani tukaujaze uwanja” makosa yapo hata wewe kuna siku unaenda kitafuta riziki na unarudi om bila bila!!! ‘kwaiyo tuhamasishane twende kuipa nguvu team yetu!!!
 

What if inafungwa tena tena zaidi ya 3 utawapa excuse gani mashabiki wakuelewe
 
Looser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…