prince john john JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 2,184 Reaction score 3,369 Nov 25, 2023 #61 FaizaFoxy said: Wewe unataka waende au wasiende? Ujinga tu, wakienda wasiende haizidishi wala haipunguzi. Starehe yao wao, wenzao wengine wote wapo kazini kwao. Click to expand... We mama hutulii kila kitu unajua
FaizaFoxy said: Wewe unataka waende au wasiende? Ujinga tu, wakienda wasiende haizidishi wala haipunguzi. Starehe yao wao, wenzao wengine wote wapo kazini kwao. Click to expand... We mama hutulii kila kitu unajua
A abidemi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2023 Posts 237 Reaction score 396 Nov 25, 2023 #62 Itscharlie said: What if inafungwa tena tena zaidi ya 3 utawapa excuse gani mashabiki wakuelewe Click to expand... Hapa sasa nikuchana jezi na kuingia officen kwa viongozi kutembeza bakora tutakuwa wajinga kama watapigwa na leo mkuu!!!! Ila leo tuwape sapoti
Itscharlie said: What if inafungwa tena tena zaidi ya 3 utawapa excuse gani mashabiki wakuelewe Click to expand... Hapa sasa nikuchana jezi na kuingia officen kwa viongozi kutembeza bakora tutakuwa wajinga kama watapigwa na leo mkuu!!!! Ila leo tuwape sapoti
Themann JF-Expert Member Joined Apr 15, 2022 Posts 3,842 Reaction score 16,058 Nov 25, 2023 #63 abidemi said: Hapa sasa nikuchana jezi na kuingia officen kwa viongozi kutembeza bakora tutakuwa wajinga kama watapigwa na leo mkuu!!!! Ila leo tuwape sapoti Click to expand... [emoji16][emoji23] wapigwe bakora sindio ngoja tuome kama tunachomoka
abidemi said: Hapa sasa nikuchana jezi na kuingia officen kwa viongozi kutembeza bakora tutakuwa wajinga kama watapigwa na leo mkuu!!!! Ila leo tuwape sapoti Click to expand... [emoji16][emoji23] wapigwe bakora sindio ngoja tuome kama tunachomoka