Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

Hahahah mkuu menu nashindwa kuweka maana situmii simu hapa ila ntaweka badae hapo
Nimekuwekea hizo hapo. Unatumia laptop sio? Kweli we ni zink. Acheni kudanganya watu nimewasha line yenu hamna kitu cha msingi mtandao unasumbua sana. Hata wafanyakazi wenu wanatumia mitandao mingine na ndugu yangu anafanya kazi kwenu anatumia voda mjione mlivyo wa ajabu.
 
Mkuu mbona unanikuza me ni mwananchi tu wala sifanyi kazi huko ila pia kwangu mimi ttcl ipo vizuri tu
 
Mkuu hiyo spidi unaifurahia ukiwa wapi?Je mimi wa ikuwo huku spidi itakua ni hiyohiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…