Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

Mavifurushi yenu hayo hapo acheni kudanganya watu hamna lolote. Hapo intarnet hadi uende posta ndo unaipata. View attachment 1969325View attachment 1969326View attachment 1969327
Screenshot_20211009-154441.jpg
 
Hahahah mkuu menu nashindwa kuweka maana situmii simu hapa ila ntaweka badae hapo
Nimekuwekea hizo hapo. Unatumia laptop sio? Kweli we ni zink. Acheni kudanganya watu nimewasha line yenu hamna kitu cha msingi mtandao unasumbua sana. Hata wafanyakazi wenu wanatumia mitandao mingine na ndugu yangu anafanya kazi kwenu anatumia voda mjione mlivyo wa ajabu.
 
Mkuu mbona unanikuza me ni mwananchi tu wala sifanyi kazi huko ila pia kwangu mimi ttcl ipo vizuri tu
 
Mkuu hiyo spidi unaifurahia ukiwa wapi?Je mimi wa ikuwo huku spidi itakua ni hiyohiyo?
 
Back
Top Bottom