Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

Hapana mkuu voda,tigo airtel na wengine kwa sasa hawana kifurushi cha bei poa kuzidi ttcl nimehamia huku now.

Line yatigo nataman niivunjevunje chifu. Harotel iko slow. Game za mpira hufurahii mzehe, linakwamakwama
 
Nimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ.
HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
Wewe ni mtumishi wa TTCL unajitekenya
 
Nimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ.
HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
We Ali Kiba utapigwa vidole humu Jamiiforum kusifia ujinga, kuna aliyekutuma?
 
Back
Top Bottom