Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

Niliachana nao hawa watu ni wezi sana wa bando, ukiwa na GB 1 hata ukizima simu muda ukiwasha tu simu wanakuja kukuambia umebaki na MB50
Sawa laikini kwasasa mitandao mingi vifurushi bei juu
 
Tatizo sio bei, shida ni matumizi, kama nimezima data nasave bando langu lisiliwe kwenye background ina maana nikiwasha data natakiwa kuanzia nilipoishia
Wengine tuna mambo mengi tunatumia bando bila kuzima data full youtube insta kuangalia videos bila kuhofia mkuu
 
Mtoa mada hajatumwa ndo ukwel halisi ttcl wako njema si kidgo gb moja gb moja kwel si za kuungaunga wenzao wamebadili vifurushi wao wako na vilevile. nna mwaka naa na hii line mambo muswano
 
Mtoa mada hajatumwa ndo ukwel halisi ttcl wako njema si kidgo gb moja gb moja kwel si za kuungaunga wenzao wamebadili vifurushi wao wako na vilevile. nna mwaka naa na hii line mambo muswano
Waambie hao wanahisi me nimetumwa kumbe naongea ukweli yani kwa sasa nafurahia GB 1.2 kwa buku tu wakati voda na wengine hadi uwe na buku 2
 
Waambie hao wanahisi me nimetumwa kumbe naongea ukweli yani kwa sasa nafurahia GB 1.2 kwa buku tu wakati voda na wengine hadi uwe na buku 2
Voda Wana 1gb,dk100. Siku 3 kwa buku
 
Back
Top Bottom