Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

Nimekua nikisikia malalamiko humu jf juu ya mtandao wetu pendwa wa ttcl, lakini kadri muda unavozidi kwenda naona kama wanajirekebisha maana leo nafurahia kasi ya ajabu ya internet na huku vifurushi vyao vikiwa na bei poa kuliko mtandao wowote hapa TZ.
HONGERENI SANA TTCL TUPO PAMOJA.
Siasa hizi
 
Hawa ilikuwa ndio wawe baba ya mitandao yote hata underground cables zote zilikuwa ziwe chini ya TTCL ila wahujumu wameiangamiza

Lingekuwa kama BT walivyoshika soko mpaka landline zote wanapitia kwao

Mashirika yanahujumiwa sana haya
 
Yeap mkuu na ukiangalia kwa sasa ttcl pekee ndo vifurushi vyao bei poa kushinda mitandao yote hapa nchini.
 
Yeap mkuu na ukiangalia kwa sasa ttcl pekee ndo vifurushi vyao bei poa kushinda mitandao yote hapa nchini.
Tuwekee menu yao tuone unafuu wa hivyo vifurushi vyao. Kumbuka kwa 1k napata 1GB na dakika 10 kwa wiki nzima huku halotel, huko ttcl kuna unafuu zaidi ya huu!!?
 
Mpaka natoka ofisini mtandao ulikuwa chini sana. Nimeshindwa kabisa kufanya kazi kwa ufanisi siku ya leo sababu ya poor connectivity. TTCL bado iko na shida sana
Labda kwako mkuu mbona kwangu mambo good tu
 
Naona "Mkuu" alikuwa maeneo ya Lindilindi huko na Liwale. Hivi TTCL atatembelea lini? Bado hapajatikiswatikiswa hapo!!
 
Mpaka natoka ofisini mtandao ulikuwa chini sana. Nimeshindwa kabisa kufanya kazi kwa ufanisi siku ya leo sababu ya poor connectivity. TTCL bado iko na shida sana
Mkuu, ingekuwa vizuri kama ungetupatia namba yako ya TTCL, ofisi ilipo ili tuangalie tatizo na kulitatua.
 
Back
Top Bottom