Seawhale
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,477
- 1,668
Pima speed then tuwekee screenshot hapa.Kasi ya internet nzuri mfano youtube naangalia video bila kugoma goma kwa ubora wa full hd
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pima speed then tuwekee screenshot hapa.Kasi ya internet nzuri mfano youtube naangalia video bila kugoma goma kwa ubora wa full hd
Yeap mkuu na ukiangalia kwa sasa ttcl pekee ndo vifurushi vyao bei poa kushinda mitandao yote hapa nchini.
Unaweza kununua salio kupitia HaloPesa, TIGOPESA, M-PESA, NMB, CRDB, MaxMalipo n.kTatizo vocha zao hazipatikani kwenye maduka mengi hususani maeneo ya vijijini
Mwanza hapa katikati ya jiji kabisa mtandao mbovu. Kuna siku mpaka nikasogea ofisini kwako pale napo mtandao mbovu nikawa nawaza sasa hata shughuli zao pale ofisini wanaziendesha aje kama network mbovu hivi?!4G pia ata 3G kote good mkuu
Ni mtandao mmoja mbovu sana kuwahi kuwapo nchini TZ na pia wana customer care mbovu sana hawajali matatizo ya mtumiaji akiwa ana shida..TTCL? Labda kipindi hiki wawe wame improve
Japo wanamapungufu ila kwa sasa ttcl wana unafuu wa bei za bando mkuuMwanza hapa katikati ya jiji kabisa mtandao mbovu. Kuna siku mpaka nikasogea ofisini kwako pale napo mtandao mbovu nikawa nawaza sasa hata shughuli zao pale ofisini wanaziendesha aje kama network mbovu hivi?!
N'way kama ulipo tiGO ina speed nzuri na una chip ya TTCL hapo ndiyo inaweza kua msaada kwako. Cha kufanya fanya manual search ya network na select tiGO (Yaani laini ya TTCL isome kwenye mtandao wa tigo pia washa /enable Roaming) hii itasaidia kuboost network ya TTCL.