Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

Na mtajamba sana ***** mwaka huu

"....asidhanj anavyotujambisha wana Simba SC basi tutajamba kweli na badala yake sasa atajamba Yeye..."
 
Viwango vyake vilishashuka baada kushindwa huko Moroco,na hata huyo Miquisone ni scrap tu mimi ningeona kama mnajeuri muwe mnavunja mikataba kwa timu zilizofika walau nusu fanali za CAF
 
Nasikia huko Yusuph kishaanza uhuni wake. Kama kuna mwanya wa kisheria ktk vipengele vya mkataba,Yusuph lazima atautumia.
 
Kwa tetesi za sasa Yanga wanasingiziwa, Chama yupo kwenye rada za Yusuph Bakheresa.
 
GENTAMYCINE kaongea kwa uchungu sana.Poleni wana makolo wote,lakini siamini kama kuna kiongozi wa Yanga atakuwa mpuuzi kumsajili Chama.Ila nakubaliana na wewe Gagarino na China ni katika viungo bora kabisa kuwahi kucheza mpira hapa East Africa.
Mpuuzi kama Ganda Mweri hili halijui na wala hana uwezo wa Kulijua vile vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…