The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Unawezaje kumuuza mchezaji usiye na mkataba naye?Kama Yanga wanamtaka na yeye anataka kwenda aende tu. Simba isipoteze muda na hili sakata. Imuuze popote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawezaje kumuuza mchezaji usiye na mkataba naye?Kama Yanga wanamtaka na yeye anataka kwenda aende tu. Simba isipoteze muda na hili sakata. Imuuze popote.
Kama mkataba wake umekwisha na hataki mkataba mpya pia ni sawa. Maoni yangu ni Simba isipoteze muda na kufanya maigizo yasiyo na maana.Unawezaje kumuuza mchezaji usiye na mkataba naye?
Na mtajamba sana ***** mwaka huuSimba SC ni Kubwa kuliko Clatous Chama na kama ni Kumvumilia kwa Dharau na Kiburi chake sasa imetosha.
Taarifa za Ndani na za uhakika GENTAMYCINE nilizonazo ni kuwa Mchezaji Clatous Chama ameshaingiziwa Pesa zake zote kulingana na Mkataba katika Akaunti yake ( tena akiwa bado Kwao ) nchini Zambia.
Cha Kusikitisha na Kushangaza Mchezaji Clatous Chama tokea atue nchini badala ya Kuushukuru Uongozi wa Simba SC kwa kumlipa Yeye Fedha zake zote Kimkataba akaanza kuleta Uhuni na Upuuzi wake.
Fujo hizi zote ambazo Mchezaji Clatous Chama anazifanya sasa Kimsingi kumbe wala haziko katika Mkataba wake Yeye na Uongozi wa Simba SC.
Leo hii Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama anawaambia Viongozi wa Simba SC kuwa alizungumza Friendly ( Nje ya Mkataba ) tena na aliyekuwa CEO Barbara Gonzalez kuwa ataongozewa Maslahi yake pale tu akiisaidia Simba SC Kimafanikio.
Baada ya Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama kujua kuwa Ameshalikoroga na Kakosea pakubwa kwani Madai yake ya sasa yako Nje ya Makubaliano yake ya Kimkataba na Simba SC na kwamba Kisheria tayari ameshalipwa Fedha zake zote Akili zake alizoshikiwa na Kiongozi Mmoja wa Yanga SC na Mbunge ( Mtoto wa Kiongozi Mstaafu ambaye ni Rafiki yake mkubwa ) zinaanza Kumrudia.
Taarifa ikufikie kuwa Juzi Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama alitaarifiwa kuhusu Safari ya Leo pamoja na Wenzake kwenda nchini Uturuki Kambini Kuungana na Wenzake na alipopigiwa Simu Jana Kukumbushwa tena ajiandae kwa Dharau na Nyodo zake hakupokea Simu.
Hivyo basi kwa Dharau na Nyodo zake hizo hizo Leo hii tokea Alfajiri hadi Asubuhi Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama amekuwa busy Kuwapigia Simu Viongozi wa Simba SC ila hakuna aliyempokelea Simu na wala hawana tena Habari nae na sasa wameamua Kumkazia na GENTAMYCINE nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa hili.
Na Sisi Watu wa Mpira ( hasa huu wa Kibongo ) ambao GENTAMYCINE si tu naujua bali naushiriki pia nina Taarifa za uhakika kuwa Klabu ya Yanga SC imemtengea Tsh Milioni 500 na Wao kwa 100% ndiyo wako nyuma ya Kumharibia Chama pasipo kujua kuwa si tu Wanamponza bali Wanamharibja na atakuja Kujuta / Kujutia mbele ya Safari.
Na wala Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama asizunguke sana Ukweli ni kwamba kwa Usajili Kabambe wa sasa Simba SC na Vyuma vilivyotua ( tena vya uhakika hata Kumzidi Yeye ) huku akijua kuwa Mfumo wa Kocha Robertinho wa Kasi, Kukaba na Kushambulia muda Wote Yeye haumfai na hauwezi anachokifanya sasa ni kutaka sababu ili aondoke na aende huko kwa Kocha Muajentina Gamondi ambaye anahisi atakuwa akimdekeza na kumuona ni Mfalme kuliko Wachezaji wote wa Yanga SC.
Na kwa asichokijua Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama ni kwamba aina yake ya Soka hata Mchezaji Saido Ntibanzokinza anaweza Kuicheza tena zaidi yake hivyo asidhanj anavyotujambisha wana Simba SC basi tutajamba kweli na badala yake sasa atajamba Yeye.
Mwambieni Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama kuwa hawa Watu wa Simba SC anaowafanyia huu Ujinga na Upumbavu wake ndiyo hawa hawa alipofiwa na Mkewe ( japo ana Mahawara zake wengi Dar es Salaam na Mmoja ni Muathjrijka aishiye Bahari Beach ) ndiyo Walijichangisha Fedha na Kukodi Mabasi kutoka Dar es Salaam na kuwapitia Wengine Mkoani Morogoro na Mbeya kwenda Kumzika Mkewe nchini Zambia hadi Wazazi wake Wakawashukuru na Kuishukuru mno Klabu ya Simba.
Na GENTAMYCINE namalizia tena nikijiamini kabisa kuwa Simba SC hadi leo haijawahi kuwa na Mchezaji wa Kiungo mwenye Kipaji kikubwa ( na hata huyu Mchezaji Mpuuzi wenu Clatous Chama ) hata tu 50% yake hajamfikia ni Marehemu Hamis Tobius Gaga "Gagarino" ambaye alikuwa akinifanya nipigwe sana Virungu kwa Kuruka Ukuta Uwanja wa Karume Ilala na wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) kwenda Kumtizama akikichafua katikati kwa upande wa Simba SC huku akiwa na Mpinzani wake kutoka Yanga SC Athumani Abdallah China.
Simba SC ni Kubwa kuliko Chama!!!!
EUnawezaje kumuuza mchezaji usiye na mkataba naye?
Mwenzako anaringia eti ana followers 150+Na kuna wajinga wenzio watakupa like kabisa kwenye uzi wako.
Saa mbovu huyu mtu sema tu anazo za kuvukia barabara.Mwenzako anaringia eti ana followers 150+
Huwa sijibu Maswali ya Kipumbavu kama hili lako. Samahani sana kwa hilo.Huyo gagarino unayemsifia aliipa simba mafanikio gani?
Nasikia huko Yusuph kishaanza uhuni wake. Kama kuna mwanya wa kisheria ktk vipengele vya mkataba,Yusuph lazima atautumia.Simba SC ni Kubwa kuliko Clatous Chama na kama ni Kumvumilia kwa Dharau na Kiburi chake sasa imetosha.
Taarifa za Ndani na za uhakika GENTAMYCINE nilizonazo ni kuwa Mchezaji Clatous Chama ameshaingiziwa Pesa zake zote kulingana na Mkataba katika Akaunti yake ( tena akiwa bado Kwao ) nchini Zambia.
Cha Kusikitisha na Kushangaza Mchezaji Clatous Chama tokea atue nchini badala ya Kuushukuru Uongozi wa Simba SC kwa kumlipa Yeye Fedha zake zote Kimkataba akaanza kuleta Uhuni na Upuuzi wake.
Fujo hizi zote ambazo Mchezaji Clatous Chama anazifanya sasa Kimsingi kumbe wala haziko katika Mkataba wake Yeye na Uongozi wa Simba SC.
Leo hii Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama anawaambia Viongozi wa Simba SC kuwa alizungumza Friendly ( Nje ya Mkataba ) tena na aliyekuwa CEO Barbara Gonzalez kuwa ataongozewa Maslahi yake pale tu akiisaidia Simba SC Kimafanikio.
Baada ya Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama kujua kuwa Ameshalikoroga na Kakosea pakubwa kwani Madai yake ya sasa yako Nje ya Makubaliano yake ya Kimkataba na Simba SC na kwamba Kisheria tayari ameshalipwa Fedha zake zote Akili zake alizoshikiwa na Kiongozi Mmoja wa Yanga SC na Mbunge ( Mtoto wa Kiongozi Mstaafu ambaye ni Rafiki yake mkubwa ) zinaanza Kumrudia.
Taarifa ikufikie kuwa Juzi Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama alitaarifiwa kuhusu Safari ya Leo pamoja na Wenzake kwenda nchini Uturuki Kambini Kuungana na Wenzake na alipopigiwa Simu Jana Kukumbushwa tena ajiandae kwa Dharau na Nyodo zake hakupokea Simu.
Hivyo basi kwa Dharau na Nyodo zake hizo hizo Leo hii tokea Alfajiri hadi Asubuhi Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama amekuwa busy Kuwapigia Simu Viongozi wa Simba SC ila hakuna aliyempokelea Simu na wala hawana tena Habari nae na sasa wameamua Kumkazia na GENTAMYCINE nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa hili.
Na Sisi Watu wa Mpira ( hasa huu wa Kibongo ) ambao GENTAMYCINE si tu naujua bali naushiriki pia nina Taarifa za uhakika kuwa Klabu ya Yanga SC imemtengea Tsh Milioni 500 na Wao kwa 100% ndiyo wako nyuma ya Kumharibia Chama pasipo kujua kuwa si tu Wanamponza bali Wanamharibja na atakuja Kujuta / Kujutia mbele ya Safari.
Na wala Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama asizunguke sana Ukweli ni kwamba kwa Usajili Kabambe wa sasa Simba SC na Vyuma vilivyotua ( tena vya uhakika hata Kumzidi Yeye ) huku akijua kuwa Mfumo wa Kocha Robertinho wa Kasi, Kukaba na Kushambulia muda Wote Yeye haumfai na hauwezi anachokifanya sasa ni kutaka sababu ili aondoke na aende huko kwa Kocha Muajentina Gamondi ambaye anahisi atakuwa akimdekeza na kumuona ni Mfalme kuliko Wachezaji wote wa Yanga SC.
Na kwa asichokijua Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama ni kwamba aina yake ya Soka hata Mchezaji Saido Ntibanzokinza anaweza Kuicheza tena zaidi yake hivyo asidhanj anavyotujambisha wana Simba SC basi tutajamba kweli na badala yake sasa atajamba Yeye.
Mwambieni Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama kuwa hawa Watu wa Simba SC anaowafanyia huu Ujinga na Upumbavu wake ndiyo hawa hawa alipofiwa na Mkewe ( japo ana Mahawara zake wengi Dar es Salaam na Mmoja ni Muathjrijka aishiye Bahari Beach ) ndiyo Walijichangisha Fedha na Kukodi Mabasi kutoka Dar es Salaam na kuwapitia Wengine Mkoani Morogoro na Mbeya kwenda Kumzika Mkewe nchini Zambia hadi Wazazi wake Wakawashukuru na Kuishukuru mno Klabu ya Simba.
Na GENTAMYCINE namalizia tena nikijiamini kabisa kuwa Simba SC hadi leo haijawahi kuwa na Mchezaji wa Kiungo mwenye Kipaji kikubwa ( na hata huyu Mchezaji Mpuuzi wenu Clatous Chama ) hata tu 50% yake hajamfikia ni Marehemu Hamis Tobius Gaga "Gagarino" ambaye alikuwa akinifanya nipigwe sana Virungu kwa Kuruka Ukuta Uwanja wa Karume Ilala na wa Uhuru ( Shamba la Bibi ) kwenda Kumtizama akikichafua katikati kwa upande wa Simba SC huku akiwa na Mpinzani wake kutoka Yanga SC Athumani Abdallah China.
Simba SC ni Kubwa kuliko Chama!!!!
Kwa tetesi za sasa Yanga wanasingiziwa, Chama yupo kwenye rada za Yusuph Bakheresa.Ukiona hivi ujue kende zishaminywa vilivyo, hivi mnadhani Yanga imesahau ujinga mliofanya kwa mchezaji mpuuzi Morrison? Sasa Yanga inakwenda kulipiza ili muumie kwa kiwango kile kile walichopata wananchi. Yanga SC itamchukua Chama japo kwa sasa anaweza asiwe kwenye kiwango cha kuchezea Yanga lkn tutamsajili ili kulipa mlichokifanya kwa mchezaji mpuuzi Morrison.
Humpendi GENTAMIYCINE ila bado tu unamfuatilia Kutwa ( 24/7 ) hapa JamiiForums tena na Likes unampa katika Threads zake.Kama kawaida, tambo nyingi kuliko habari
Ninayemuona Huruma zaidi ni Mganda Emmanuel Robert Okwi hasa kwa alichokikifanya na Wadada Waathirika pale PR Lodge Sinza.Mastaa wengi bongo wana ngoma
Precisely Chief.Ngoma ataziba namba yake
Chama hafiti kwenye mfumo wa Robertinho
Mpuuzi kama Ganda Mweri hili halijui na wala hana uwezo wa Kulijua vile vile.GENTAMYCINE kaongea kwa uchungu sana.Poleni wana makolo wote,lakini siamini kama kuna kiongozi wa Yanga atakuwa mpuuzi kumsajili Chama.Ila nakubaliana na wewe Gagarino na China ni katika viungo bora kabisa kuwahi kucheza mpira hapa East Africa.
Mpumbavu kama huyo hatakiwi Kuelimishwa Mkuu na Siku zingine usirudie tena. Watu kama hao ( huyo ) GENTAMIYCINE huwa Nawadharau mno.Mkuu waliofanikiwa kumuona Gagarino akisakata kabumbu wanasema ni Zidane kabisa... Unaweza kuwa na kipaji kikubwa na timu ikakosa makombe
Dola Milioni 1 sawa na Shilingi Bilioni 2 za Kitanzania Yanga SC mnazo ili Simba SC iwaachie huyo Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama?