The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Heko na shukrani nyingi ziwafilie hawa viongozi wa Kikristo kukemea mauaji bila kuchoka. Wameokoa roho za watu wengi sana hasa kipindi hiki cha uchaguzi.
Bila makelele yao naamini hali ingekuwa mbaya sana kwa wanasiasa/wanaharakati mauaji yangekuwa mengi zaidi.
Sijajua wenzetu waislamu wanakwama wapi kukemea maovu hadharani. Ila niwashuri tu waache unafiki maana ndo chanzo cha Migogogoro katika tawala zao popote pale duniani.