The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Heko na shukrani nyingi ziwafilie hawa viongozi wa Kikristo kukemea mauaji bila kuchoka. Wameokoa roho za watu wengi sana hasa kipindi hiki cha uchaguzi.
Bila makelele yao naamini hali ingekuwa mbaya sana kwa wanasiasa/wanaharakati mauaji yangekuwa mengi zaidi.
Sijajua wenzetu waislamu wanakwama wapi kukemea maovu hadharani. Ila niwashuri tu waache unafiki maana ndo chanzo cha Migogogoro katika tawala zao popote pale duniani.
Mbona walikuwa hawakemei enzi za mwendazake mna udini sana nyie wakristo haya yanayotokea sasa yalikua yanatokea kipindi cha mwendazake huyo Lissu chupuchupu waondoke na uhai wake wako wapi wakina Ben saanane acheni udini unawasaidia nnGT
Heko na shukrani nyingi ziwafilie hawa viongozi wa Kikristo kukemea mauaji bila kuchoka. Wameokoa roho za watu wengi sana hasa kipindi hiki cha uchaguzi.
Bila makelele yao naamini hali ingekuwa mbaya sana kwa wanasiasa/wanaharakati mauaji yangekuwa mengi zaidi.
Sijajua wenzetu waislamu wanakwama wapi kukemea maovu hadharani. Ila niwashuri tu waache unafiki maana ndo chanzo cha Migogogoro katika tawala zao popote pale duniani.
Kuna Sheikh katekwa Singida??Pambaneni kimpango wenu msitutaje .
Shida ya uislamu ni kwamba mna PHD zaa unafiki. Kwa hiyo hukuona matamko enzi za JPM. Kwa sasa naamini 100% ukitaka jambo lako liharibike mshirikishe muislamu mna roho za kutu sana. Ona CUF na ACT zinavyopoteana hata huku Chadema masnitch ni maustadhi tu. Zito kabwe aliamua kuia Chadema kashindwa sasa rungu kapwwa Hamidu.Mbona walikuwa hawakemei enzi za mwendazake mna udini sana nyie wakristo haya yanayotokea sasa yalikua yanatokea kipindi cha mwendazake huyo Lissu chupuchupu waondoke na uhai wake wako wapi wakina Ben saanane acheni udini unawasaidia nn
Bora kuliko kuendelea kupoteza wengine. Pia inasaidia watu kuwa na uhuru wa kutoa maoniBahati mbaya waliotekwa hawajarudi
Hao jamaa wakishashiba ubwabwa baasi sijajua dini yao inafundisha nini aisee kuhusu hakiKuna Sheikh katekwa Singida??
Hata kutetea utu hamtaki??
Kiongozi wa dini anaposhindwa kukemea Mauaji lazima ujiuiize mara mbilimbili juu ya uadilifu wake.Wafuasi wa Yesu mwana wa Mariamu wameupiga mwingi sana kwenye kukemea udhalimu wa kudhulumu roho za watu nchini. Nakupongezeni sana.
Bila Wakiristo Imara, nchi yetu itayumba.
Naandika haya nikiwa Muislamu safi, ninayeshangazwa na viongozi wangu wa kiislamu wanaobariki dhulma au kufumbia macho dhulma ya kunyang'anya uhai wa watu kisa eti aliyeko Ikulu anavaaa hijabu.
Utekaji wa Magufuli haulalishi kuendelea na mauaji ni akili za kipuuzi hizo.Magufuli ndio alianza mambo ya utekaji..Yule kichaa bora Mungu alimuondoa sijui tungekuwa na hali gani
Nini kifanyike sasa..tufanye maandamano ?Utekaji wa Magufuli haulalishi kuendelea na mauaji ni akili za kipuuzi hizo.
Waislam mnajulikana kuua kwenu ni ibada ndio maana hata mama hajali na wala haongelei swala hilo maana ni sehemu ya dini yenuPambaneni kimpango wenu msitutaje .
Kwani hajapatikana yule shekhe?Kuna Sheikh katekwa Singida??
Hata kutetea utu hamtaki??
Gwajima Yuko wapi?GT
Heko na shukrani nyingi ziwafilie hawa viongozi wa Kikristo kukemea mauaji bila kuchoka. Wameokoa roho za watu wengi sana hasa kipindi hiki cha uchaguzi.
Bila makelele yao naamini hali ingekuwa mbaya sana kwa wanasiasa/wanaharakati mauaji yangekuwa mengi zaidi.
Sijajua wenzetu waislamu wanakwama wapi kukemea maovu hadharani. Ila niwashuri tu waache unafiki maana ndo chanzo cha Migogogoro katika tawala zao popote pale duniani.
Kama magufuli angeanzisha kufilana hadharani mngeendeleza sioMagufuli ndio alianza mambo ya utekaji..Yule kichaa bora Mungu alimuondoa sijui tungekuwa na hali gani