Nawapongeza Wakristo kwa kukemea Utekaji, Kwa kiasi Fulani Sasa Pametulia

Aisee imethibitika
 
Inauma sana kujikuta mbabe una tishia watu wasiongee siasa kwenye ibada afu wao wana ongeza speed na hamna kitu utafanya 😂nazani uko chief hangaya ana tamani kufungia RC lakini Hata kwa akili zake ndogo hawezi thubutu
 
Mbona walikuwa hawakemei enzi za mwendazake mna udini sana nyie wakristo haya yanayotokea sasa yalikua yanatokea kipindi cha mwendazake huyo Lissu chupuchupu waondoke na uhai wake wako wapi wakina Ben saanane acheni udini unawasaidia nn
Umezaliwa mwaka gan ? Ukute umezaliwa mwaka 2022
 
Nyie hamjiwezi si mnasema mko wengi ,mnasema mnaintelijensia ya juu na Kitima Kakamatwa kama kuku ...Nyie jamaa acheni lawama sio tabia za kiume ..kwa hiyo mpaka muungwe mkono na waislamu 🤣🤣nyie hamjiwezi?

Si mnasema ukombozi utatokea huko bara , inakuwaje mna shobo na waislamu? Kiufupi hamna uwezo wavaa suti ni waoga na matapeli ,si mnafundishwa intelijensia mbona mnambwela? Yule mmoja anaogopa anasema watu walikuwa wanamfuatilia ,so hayo mafunzo ni yapi Au Phd za kukusanya sadaka ...
 
Hapajatulia kuna sheikh katekwa singida huko wiki iliyo pita labda kwa vile sio maarufu lakin bado watu wanatekwa hazivumi kwa vile sio maarufu
 
unaongelea ushabiki
 
Mbona walikuwa hawakemei enzi za mwendazake mna udini sana nyie wakristo haya yanayotokea sasa yalikua yanatokea kipindi cha mwendazake huyo Lissu chupuchupu waondoke na uhai wake wako wapi wakina Ben saanane acheni udini unawasaidia nn
R.C walitoa waraka hats kwenye kipindi Cha mwendazake,acha kudanganya.
 
AKILI SIO MAKALIO.

tatizo lenu mnayatazama maisha kwa mtazamo wa dini yenu wakati dunia ni kubwa kuliko fikra zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…