"Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri - Kazi Iendelee" ifutwe tumrudie Mungu

"Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri - Kazi Iendelee" ifutwe tumrudie Mungu

Kuchukua salaam za kidini na kuzifanya salaam za kisiasa ni utapeli. Lini umeingia Msikitini ukamsikia Shehe/Imamu akisalimia Asalaam aleikum-Bwana Yesu asifiwe kwa pamoja, au vivyo hivyo kwa mapadri na Wachungaji? Sasa hili la kuchanganya salaam za madhehebu tofauti tena likifanywa kisiasa lina baraka gani?
Utapeli ni pale unajifanya huna dini wakati unaahirisha mechi ya soka kisa dini yako. Jifunze kujifunza, sawa?
 
Ni ushamba tu unakusumbua na mazoea mabaya, mungu hatukuzwi kwa salamu bali mungu anatukuzwa kwa matendo mema

Kuamini uwepo wa mungu sio kwa kusalimia bwana yesu asifiwe tu jinga wewe bali unashi maisha gani ya kukili uwepo na utii kwa mungu kwa matendo

Huyo aliye kuwa anasalimia kwa salamu dini zote alifanya kipi zaid ya kuteka na kuua na matusi ya jukwaani pamoja na kudhulumu haki za wengine? Acheni kuishi kwa kukalili.
Kumbe salamu siyo matendo siyo? Which school did you go, even?
 
Ni ushamba tu unakusumbua na mazoea mabaya, mungu hatukuzwi kwa salamu bali mungu anatukuzwa kwa matendo mema

Kuamini uwepo wa mungu sio kwa kusalimia bwana yesu asifiwe tu jinga wewe bali unashi maisha gani ya kukili uwepo na utii kwa mungu kwa matendo

Huyo aliye kuwa anasalimia kwa salamu dini zote alifanya kipi zaid ya kuteka na kuua na matusi ya jukwaani pamoja na kudhulumu haki za wengine? Acheni kuishi kwa kukalili.
Kajifunze kiswahili kwanza mpuuzi wewe, kukalili ndiyo nini?
 
Huyo zwazwa hata kiswahili ni shida tupu
Hivi hapa zwazwa ni nani kati yangu na nyie? Mnatiana ujinga tu sababu ya chuki zenu za kisukuma kwa mama samia baada ya yule mungu wenu aliye waaminisha kwamba yeye ni jiwe kweli kweli kukata moto, wajinga kweli nyie!
 
Napendekeza hii salamu ifutwe tumurudie Mungu. Sasabu nyingine ni hizi hapa.

1. Salamu ya Mungu inaliinua taifa. Mungu anakuwa karibu nasi siku zote hata kipindi cha Corona.

2. Salamu ya JMT , Kazi iendelee inakosa consistency. Tutajikuta kila awamu tunabadili salamu. Taifa lazima tuwe na salamu Moja kama alama yetu.

3. Hii salamu ya kazi iendelee haitikiwi na watu wote. Maana hii salamu inategemea na utendaji wa Kazi wa serikali na jinsi mtu anaridhika na hiyo Kazi. Kama Kazi hazitafanyika kiasi cha kuridhisha basi mtu hawezi kuitikia. Ila salamu ya Mungu wote twaitikia. Na wale wasio amini Mungu walishazoea.

Bwana Sifiwe-AsalamuAleikumu.
Mama nidini anayejificha kinafki. Hapendi kutamka jina lipitalo majina yote
 
According to the Encyclopedia of Wars, out of all 1,763 known/recorded historical conflicts, 123, or 6.98%, had religion as their primary cause.

Tusitafute matatizo sehemu pasipo na tatizo..., wewe kama unapenda hizo salamu; salimiana na familia yako au mkiwa na watu wa jamii yako (Serikali haina Dini) ila nadhani hawa watu wakiwa kwenye shughuli za kiimani watafanya hivyo unavyotaka
 
Au wewe mwalimu wako wa dini alikwambia kuwa ukisalimia bwana yesu asifiwe basi ndio usha ingia peponi?
Unajua ^Bwana Yesu^ ambayo huyo mwalimu wa dini alituambia, yenyewe ilikuwa inaanza kwa herufi kubwa. Sivyo kama ulivyoandika wewe hapo. 🙂 🙂 🙂
 
Hii nchi ni ya watu wote sio waamini Mungu tu. Hivyo kunasibisha kila kitu na Mungu ni kuwakosea wasioamini uwepo wake.

Kazi iendelee ni slogan ya Mama akija Rais mwingine atakuja na slogan yake. Hakuna tatizo. Hatuwezi kuwa na salamu moja awazo tofauti.

Mfano US; Obama - Yes, we can/Change we need. Trump - MAGA. Biden - Build back better/Restore The Soul of The Nation.
Dogo umechanganya madesa. Mtoa uzi anazungumzia salamu. Je, Rais akitoka Chadema naye ataitumia hiyo salamu? Kosa la Mama ni kuchanganya slogan yake "Kazi Iendelee" na salamu. Akina Obama, Trump hata Magufuli hawakufanya hivyo!

Tungendelea na salamu zile zile za "Tumsifu Yesu Kristo", Assalam Alleiykum", Bwana Asifiwe" ingekuwa poa tu. Kwanza tushazizoea. Pili zinatuweka karibu na Mungu. Au Mama anamuogopa Mungu?
 
According to the Encyclopedia of Wars, out of all 1,763 known/recorded historical conflicts, 123, or 6.98%, had religion as their primary cause.
Which actually means there is something ^golden^ with religion, otherwise people would not dare to risk their life for its sake. Am I speaking even!?
 
Kajifunze kiswahili kwanza mpuuzi wewe, kukalili ndiyo nini?
Hoja ya msingi imeeleweka hayo ya kukalili si hoja ya msingi sababu hapa hatuko kwenye mashindano ya kujua lugha.
 
Napendekeza hii salamu ifutwe tumurudie Mungu. Sasabu nyingine ni hizi hapa.

1. Salamu ya Mungu inaliinua taifa. Mungu anakuwa karibu nasi siku zote hata kipindi cha Corona.

2. Salamu ya JMT , Kazi iendelee inakosa consistency. Tutajikuta kila awamu tunabadili salamu. Taifa lazima tuwe na salamu Moja kama alama yetu.

3. Hii salamu ya kazi iendelee haitikiwi na watu wote. Maana hii salamu inategemea na utendaji wa Kazi wa serikali na jinsi mtu anaridhika na hiyo Kazi. Kama Kazi hazitafanyika kiasi cha kuridhisha basi mtu hawezi kuitikia. Ila salamu ya Mungu wote twaitikia. Na wale wasio amini Mungu walishazoea.

Bwana Sifiwe-AsalamuAleikumu.
Acha UPOPOMA wewe....

Bila ya JMT hizo salamu zako za Assalaam Alaykum na Bwana Asifiwe UNGEZIONGELEA katika misitu ya BENI ukikutana na wale WAASI WANAOWASUMBUA wakongomani......

#NchiKwanzaKablaYaKilaKitu
 
Which actually means there is something ^golden^ with religion, otherwise people would not dare to risk their life for its sake. Am I speaking even!???
Even if it was something Diamond (risk your own life and not others); your beliefs are your own not the societies..., Hata ukitaka kuamini Mizimu ya Babu zake its all good ila usitake wengine wasifie Imani yako.... Kwa ufupi ni kukosa ustaarabu na kwa uhalisia ni kupoteza muda...., utaanza kusalimia watu kwa Imani za wangapi si tutajikuta mkutano ni salamu au Marasta; Singa Singa, Hindu, Wachawi, nao sio watanzania....
 
Bila ya nchi kuna RAIA?!!
Bila ya nchi Kuna SERIKALI ?!!!

Ujinga mkubwa ni KUIBEZA SALAMU inayotushajiisha TAIFA LETU BORA....JMT!!!

Mh.SSH Yuko sahihi mno.....

#TaifaKwanza
#JMTKwanza
#KaziIendelee
 
Back
Top Bottom