MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Swali juu ya swali, kwa kukuongezea maarifa na ku bridge a gap of knowledge, salamu zipo na pengine hatuitaji mpya.Unatokea Sayari gani, Pluto au!???
Habari za asubuhi, mchana, jioni zinatosha kama kuna ulazima wa kusalimiana