"Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri - Kazi Iendelee" ifutwe tumrudie Mungu

"Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri - Kazi Iendelee" ifutwe tumrudie Mungu

Rais asiogope kutambua dini za anaowaongoza, hawezi kwepa Hilo,

Au atatusalimia hivyo akiwa kwenye kampeni.
 
Wewee kwenda zako kule wasukuma walijiaminisha kwamba wamepata mungu wao wakamtia ujinga akajiona anaelekea kuwa mungu na kwa sababu mungu hataki wanafiki akamtwaa ,

Sasa hawa wasukuma walio baki ndio waendesha mijadala ya kumchafua mama samia na kupinga kila afanyacho hadi wanaenda mbali kusema hatoshi mara hafai na ndio vinara wa kukashifu serikali iliyopo madarakani ,ushamba wa wasukuma ni wakuzaliwa nao ni wa kihistoria huo kama vita ya Israel na Palestine hauto watoka kwame hadi kiama
Hizo kashifa zako kwa kundi hilo umekengeuka, jirudi wale huwa hawana huruma wakifikia mwisho wa kuvumilia tambua hilo ndio maana hata wakoloni hawajawahi kuweka makazi ya kudumu pamoja na utajiri wa madini, mifugo na mazao ya maji baridi.

Kama wewe ni mtani wao basi ni haki yako maana hata maiti unaweza kuidhihaki, lakini kama unamaanisha unachokisema umepotea njia.

Nyerere walimkalisha uwanja wa Nyamagana kuanzia saa nne asubuhi hadi saa tisa alasiri akiwa ametazama jua kumpima uvumilivu wake kipindi cha kupigania uhuru sembuse wewe na mipasho yako hiyo.

Kumbuka dunia imening'inia hewani na nguvu isiyoonekana ndio inaibeba pamoja na wewe usiyeona madhara ya dhihaka kama walivyosema wahenga "Usimtukane mkunga wakati uzazi ungalipo". Uko kwenye kitu kilichopatikana kutokana na 'kufa kufaana' kwenye sahani ya dhahabu.

*Chunga ulimi na kalamu yako uliponza kichwa
 
Napendekeza hii salamu ifutwe tumurudie Mungu. Sababu nyingine ni hizi hapa.

1. Salamu ya Mungu inaliinua taifa. Mungu anakuwa karibu nasi siku zote hata kipindi cha Corona.

2. Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee inakosa consistency. Tutajikuta kila awamu tunabadili salamu. Taifa lazima tuwe na salamu Moja kama alama yetu.

3. Hii salamu ya kazi iendelee haitikiwi na watu wote. Maana hii salamu inategemea na utendaji wa kazi wa serikali na jinsi mtu anaridhika na hiyo Kazi. Kama kazi hazitafanyika kiasi cha kuridhisha basi mtu hawezi kuitikia. Ila salamu ya Mungu wote twaitikia. Na wale wasio amini Mungu walishazoea.

Bwana Sifiwe, Asalamu Aleikumu
Mungu ni imani hiyo ni salamu nzuri kwenye sehemu za ibada Tanzania haina dini!. Kuna wanao abudu miungu
 
Mungu ni imani hiyo ni salamu nzuri kwenye sehemu za ibada Tanzania haina dini!. Kuna wanao abudu miungu
Hao waabudu miungu wanajua Ukuu wa Mungu pia.

Wimbo wa Taifa uko vyema Sana
 
Watu wanaomuamini Mungu hawapigani risasi hovyo, hawaibi kura, hawafungani magerezani kwa hila, hawabaguani n.k
Kwanza kusema nawasalimu kwa jina la Jamhuri maanake hatuamini uwepo wa MUNGU, ni dhihaka kubwa sn mbele za MUNGU.
 
Napendekeza hii salamu ifutwe tumurudie Mungu. Sababu nyingine ni hizi hapa.

1. Salamu ya Mungu inaliinua taifa. Mungu anakuwa karibu nasi siku zote hata kipindi cha Corona.

2. Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee inakosa consistency. Tutajikuta kila awamu tunabadili salamu. Taifa lazima tuwe na salamu Moja kama alama yetu.

3. Hii salamu ya kazi iendelee haitikiwi na watu wote. Maana hii salamu inategemea na utendaji wa kazi wa serikali na jinsi mtu anaridhika na hiyo Kazi. Kama kazi hazitafanyika kiasi cha kuridhisha basi mtu hawezi kuitikia. Ila salamu ya Mungu wote twaitikia. Na wale wasio amini Mungu walishazoea.

Bwana Sifiwe, Asalamu Aleikumu
Kazi iendelee ina ukakasi, ndiyo maana watu wengine hawaitamki.

Ni kazi ipi iendelee?

Yaani kazi ya kuwapoteza Ben, Azory, Kanguye, n.k; iendelee?

Kazi ya kuwashambulia akina Lisu, kuwaua akina Akwilina, n.k; iendelee?

Kazi ya kuwabambikia watu kesi, iendelee?

Kazi ya teuzi zinazoegemea ubaguzi wa kindugu, kikabila, kimaeneo; ziendelee?

Kama tunataka salamu ya kitaifa, tutafute iliyo bora, na wala isiwe ya kuamsha kumbukumbu za majonzi. Utawala wa marehemu ulikuwa dhalimu uliowadhulumu haki mbalimbali watu mbalimbali.
 
Uko sahihi mkuu, jiwe ameacha legasi za ajabu ajabu sana vichwani mwa watu.Kabla ya jiwe hakukuwepo na hizi salamu za kidini kwenye shughuli za serikali.
Ni ushamba tu unakusumbua na mazoea mabaya, mungu hatukuzwi kwa salamu bali mungu anatukuzwa kwa matendo mema

Kuamini uwepo wa mungu sio kwa kusalimia bwana yesu asifiwe tu jinga wewe bali unashi maisha gani ya kukili uwepo na utii kwa mungu kwa matendo

Huyo aliye kuwa anasalimia kwa salamu dini zote alifanya kipi zaid ya kuteka na kuua na matusi ya jukwaani pamoja na kudhulumu haki za wengine? Acheni kuishi kwa kukalili.
 
Napendekeza hii salamu ifutwe tumurudie Mungu. Sababu nyingine ni hizi hapa.

1. Salamu ya Mungu inaliinua taifa. Mungu anakuwa karibu nasi siku zote hata kipindi cha Corona.

2. Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee inakosa consistency. Tutajikuta kila awamu tunabadili salamu. Taifa lazima tuwe na salamu Moja kama alama yetu.

3. Hii salamu ya kazi iendelee haitikiwi na watu wote. Maana hii salamu inategemea na utendaji wa kazi wa serikali na jinsi mtu anaridhika na hiyo Kazi. Kama kazi hazitafanyika kiasi cha kuridhisha basi mtu hawezi kuitikia. Ila salamu ya Mungu wote twaitikia. Na wale wasio amini Mungu walishazoea.

Bwana Sifiwe, Asalamu Aleikumu
na wasio na dini nao watumie salamu gani!!?
 
Watu wakishalewa dini akili huwa zinawatoka kabisa, wanaweza kukubali kujichoma mishikaki kama wale wafuasi wa Kibwetere.
Which actually means there is something ^golden^ with religion, otherwise people would not dare to risk their life for its sake. Am I speaking even!???
 
Assalamualaikum, Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo.

Au ukiona hiyo ndefu sana you simply say Habarini za muda huu mabibi na mabwana.

Huyo Jamhuri ya Muungano ndio nani??

Hiko kibwagizo Cha aina yake.
 
Hao viongozi wa kiroho wangekuwa wana msaada nchi hii isingenuka umaskini uliotopea kwa miaka 60
Mkuu

Hiyo ni salamu ya kipagani na ya mtu asiye na hofu ya Mungu aliye hai ndio maana mambo yatafanyika bila kushirikisha viongozi wa kiroho kisha baada ya maamuzi ndio watataarifiwa kuunga mkono juhudi zilizofanyika nyuma ya pazia.

Ushauri wako mzuri salamu kwa jina la jamhuri haina mantiki kijamii ila kisiasa ni kujitafutia umaarufu wa utambulisho wa mtu mwanzilishi wake tu.

Kazii iendelee ni ipi hiyo? Hapa inahitaji ufafanuzi wa kina vinginevyo kazi yoyote hata isiyo halali ambazo zilizibwa/kuzuiwa sasa inawezekana ni ruksa kuendelea.
 
Watanzania wengu wamekuwa wanakiona cha moto muda wa maisha yao yote hapa duniani wala hawana haja ya kukisubri.
Chamoto kinakuja.. Mungu wetu ni mwenye wivu.
 
Anazitambua ndio maana bado uhuru wote wa dini unaoutaka upo
Rais asiogope kutambua dini za anaowaongoza, hawezi kwepa Hilo,

Au atatusalimia hivyo akiwa kwenye kampeni.
 
Kwanza kusema nawasalimu kwa jina la Jamhuri maanake hatuamini uwepo wa MUNGU, ni dhihaka kubwa sn mbele za MUNGU.
Siyo kila mtu anaamini kwamba kuna MUNGU. walokole mna shida gani?
 
Dogo umechanganya madesa. Mtoa uzi anazungumzia salamu. Je, Rais akitoka Chadema naye ataitumia hiyo salamu? Kosa la Mama ni kuchanganya slogan yake "Kazi Iendelee" na salamu. Akina Obama, Trump hata Magufuli hawakufanya hivyo!

Tungendelea na salamu zile zile za "Tumsifu Yesu Kristo", Assalam Alleiykum", Bwana Asifiwe" ingekuwa poa tu. Kwanza tushazizoea. Pili zinatuweka karibu na Mungu. Au Mama anamuogopa Mungu?
Kila dini ina salamu yake. Acha ubunafsi. Unahisi Tanzania kuna dini mbili tu?
 
Back
Top Bottom