Nawasanua nchi hii mpinzani wa kweli ni Lissu tu

Nawasanua nchi hii mpinzani wa kweli ni Lissu tu

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Hawa wengine ni waigizaji

Kama mnabisha wakati utasema

Hata Mange ni afisa muulize kwanini aliingia mitini kabla ya uchaguzi ? Huyu ndiye chanzo Cha watu kuuawa October 2025 .

Yule pia wa bavicha ni afsa

TLS ni afisa

Kinatali pia ni afisa

Makamo pia ni afisa

Katibu pia ni afisa

Yule wa Kenya ni afisa

Yule mpaka kafungua duka la kubadilisha pesa.

Mliozaliwa juzi hamuwezi kuelewa

Yuko wapiMbowe , Mrema, lipumba, Slaa, mbatia

wapinzani wa kweli CCM uwaua

Watu wake uwaacha wabwabwaje

Lema anataka kulisi cheo cha Mbowe

Anafanya mpango wa kuwa mwenyekiti baada ya Lissu na atagombea 2029. Pesa atachukua kwa yule aliyejitwisha cheo Cha yule boss wa TISS na namba mbili.

Hii nchi watu wema wanauzwa Sana
R.I.P Mdude, Mawazo, Soka.

Watanzania mmeuzwa Tena kwa vipande vya pesa

Imagine shaidi wa Siri alikuwa Mbowe.
 
Sawa, hapo ndio ukomo wa akili yako..asante kwa taarifa.
 
Pesa za bure unakula na kisha unaendelea na msimamo wako kibaya ni kula pesa kisha kuhamia Chauma au ACT
 
Wakileta pesa chukua kwani usipozichukua watazitumia kukuhujumu bora uzichukue kisha kuwa na msimamo kwani hukuwa umewaomba pesa si wamezileta wenyewe
 
Una uhakika kwa wazungu Lissu hafiki bei?
Pesa ya bure ni kuitafuna tu Kisha unabaki na msimamo wako, kibaya ni kuchukua pesa kisha kukosa msimamo kama Mbowe, Salum mwalimu na wenzao waliojirundika huko chauma
 
Back
Top Bottom