technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Sawa, hapo ndio ukomo wa akili yako..asante kwa taarifa.Hawa wengine ni waigizaji
Kama mnabisha wakati utasema
Hata Mange ni afisa muulize kwanini aliingia mitini kabla ya uchaguzi ? Huyu ndiye chanzo Cha watu kuuawa October 2025 .
Yule pia wa bavicha ni afsa
TLS ni afisa
Kinatali pia ni afisa
Makamo pia ni afisa
Katibu pia ni afisa
Yule wa Kenya ni afisa
Yule mpaka kafungua duka la kubadilisha pesa.
Mliozaliwa juzi hamuwezi kuelewa
Yuko wapiMbowe , Mrema, lipumba, Slaa, mbatia
wapinzani wa kweli CCM uwaua
Watu wake uwaacha wabwabwaje
Lema anataka kulisi cheo cha Mbowe
Anafanya mpango wa kuwa mwenyekiti baada ya Lissu na atagombea 2029. Pesa atachukua kwa yule aliyejitwisha cheo Cha yule boss wa TISS na namba mbili.
Hii nchi watu wema wanauzwa Sana
R.I.P Mdude, Mawazo, Soka.
Watanzania mmeuzwa Tena kwa vipande vya pesa
Imagine shaidi wa Siri alikuwa Mbowe.
Pesa za bure unakula na kisha unaendelea na msimamo wako kibaya ni kula pesa kisha kuhamia Chauma au ACTHawa wengine ni waigizaji
Kama mnabisha wakati utasema
Hata Mange ni afisa muulize kwanini aliingia mitini kabla ya uchaguzi ? Huyu ndiye chanzo Cha watu kuuawa October 2025 .
Yule pia wa bavicha ni afsa
TLS ni afisa
Kinatali pia ni afisa
Makamo pia ni afisa
Katibu pia ni afisa
Yule wa Kenya ni afisa
Yule mpaka kafungua duka la kubadilisha pesa.
Mliozaliwa juzi hamuwezi kuelewa
Yuko wapiMbowe , Mrema, lipumba, Slaa, mbatia
wapinzani wa kweli CCM uwaua
Watu wake uwaacha wabwabwaje
Lema anataka kulisi cheo cha Mbowe
Anafanya mpango wa kuwa mwenyekiti baada ya Lissu na atagombea 2029. Pesa atachukua kwa yule aliyejitwisha cheo Cha yule boss wa TISS na namba mbili.
Hii nchi watu wema wanauzwa Sana
R.I.P Mdude, Mawazo, Soka.
Watanzania mmeuzwa Tena kwa vipande vya pesa
Imagine shaidi wa Siri alikuwa Mbowe.
Pesa ya bure ni kuitafuna tu Kisha unabaki na msimamo wako, kibaya ni kuchukua pesa kisha kukosa msimamo kama Mbowe, Salum mwalimu na wenzao waliojirundika huko chaumaUna uhakika kwa wazungu Lissu hafiki bei?
Una uhakika kwa wazungu Lissu hafiki bei?