GE2025 Nawashangaa CHADEMA wanamshabikia Askofu Gwajima leo, ina maana wanasahau mapema kiasi hiki?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na haya ndiyo mawazo ya great thinker. Kazi ipo
 
Gwajima anakuwa supported kwasababu anapinga UTEKAJI ,anapinga mifumo kandamizi ,anapinga UHUNI....//KATAA_WAHUNI
Kwahyo Leo ndo mnamuona wa maana mmeshasahau mlikotoka, poleni sana
 
Mimi Chadema hukiita kikundi Cha wahuni!
 
Mkuu hao ni nyumbu. Hawana principle yoyote. Ndio maana sasa hivi huwasikii wakitaja viongozi wa chama chao. Wao mara kwa polepole mara gwajima.
Nyumbu walifanya mkutano wao wa kuchagua mwenyekiti wa chama live duniani nzima iliona. Je hawa ambao mwenyekit wao amejipitisha kugombea nafasi kuu bila hata Uchaguzi nani Nyumbu hapo waliofanya uchaguzi wa Mwenyekiti dunia nzima inaona au huyu aliejipitisha mwenye ndani ya chama chenye wanachama milioni 13 bila kupingwa nani Nyumbu?
 
Wanaomshabikia Gwajima na kumuunga mkono ni watanzania Kwa uwingi wao, wasiopenda unyasasaji na ukandamizaji haki unaofanywa na serikali hii ya TANZANIA!
Kuwaingiza Chadema kwenye hili ni kuukataa ukweli kitu kisichokusaidia chochote!! Kwa sasa ukinzani dhidi ya serikali unatoka Kwa watanzania bila kujali itikadi zao!!
Mazafantazz!!
 
Kwenye Siasa hakunaga Rafiki wala Adui wa kudumu ila yanayodumu ni Malengo tu.. Ndo maana Mwana FA alipewa cheo u-Naibu Waziri kwenye serikali ya CCM aliyowahi kuikebehi ikiwa chini ya Kikwete..
 
Kati ya chadema wanaomshabikia GWAJIMA anayezungumza ukweli. Na ccm waliowaita kina theis WAHUJUMU uchumi na kuwafunga ndani mpaka walipolipa plea bargaining ( kukiri makosa)) na kuwakaribisha kwenye harambee mliimqni City tena WAKQCHANGIA MABILIONI nani msaliti hapo?
Unajitoa ufahamu???
Ccm ikichukua fedha za wakwepa kodi sawa kwakuwa ni michango halali? Wengine wakifuatilia kina gwajima ni wasaliti?
Hivi hata hilo neno lenyewe usaliti UNALIELEWA KWELI WEWE CHAWA?
 
Wewe ndiyo wa kusanuliwa kwani upumbavu wako ni mkubwa kupita kiasi, Kwa Akili zako mbovu chadema wanashoboka kivipi? Gwajima kaamua kujitoa mhanga kukemea kukataa vitendo haramu vya kishetani uonevu manyanyaso yenu kwa Lisu na chadema lazima chadema wamuunge mkono wala hawahitaji kusanuliwa na wewe mbumbumbu mvuta Bangi, ibilisi wa ccm wanateka wanaua wanawabambikia kesi chadema familia zikae Tanzania ili mziue? Wakae kusubiri uwateke na kuwabambikia kesi? Huko kwa mabeberu ndipo ccm hushinda wakiomba omba misaada wakipewa huwabatiza wafadhili na wakikemea ushetani wa ibilisi wa ccm mnageuka kuwaita mabeberu acheni upumbavu wenu
 
ccm imetakatisha pesa haramu inazitumia kumpatia Mbowe na chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm kwa kazi haramu kuidhoofisha chadema
 
ccm wenye Akili Timanu wapenda Haki Amani uoendo wapo na Gwajima na wanajua umuhimu wa chadema kwa jamii ya kitanzania kwani imeisaidia ccm kuamka na kuacha upumbavu na vitendo haramu vya kishetani, hakuna Binadamu mcha mungu atakubaliana na matendo haramu ya ibilisi wa ccm ya sasa
 
Gwajima yupo kwenye njia ya Haki kila binadamu mwenye Akili timamu lazima atamuunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…