Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,648
- 2,706
- Thread starter
- #81
CCM 💚 💚 CCM 💚Kati ya chadema wanaomshabikia GWAJIMA anayezungumza ukweli. Na ccm waliowaita kina theis WAHUJUMU uchumi na kuwafunga ndani mpaka walipolipa plea bargaining ( kukiri makosa)) na kuwakaribisha kwenye harambee mliimqni City tena WAKQCHANGIA MABILIONI nani msaliti hapo?
Unajitoa ufahamu???
Ccm ikichukua fedha za wakwepa kodi sawa kwakuwa ni michango halali? Wengine wakifuatilia kina gwajima ni wasaliti?
Hivi hata hilo neno lenyewe usaliti UNALIELEWA KWELI WEWE CHAWA?
OCTOBER TUNATIKI ✅