Kwani hujui katika makanisa ya Gwajima 2000 yaliyofungiwa kuna wanaccm,wanachadema ,wanaact na wengine hata wasio na vyama
Na hao waumini wake aliosema saa hizi hawana pa kuabudu na wanamsikiliza kama kiongozi wao mkuu wa juu unafikiri wote ni CHADEMA?
Kigezo gani umekitumia kufikia hitimisho lako wote wanaomuunga mkono ila wewe umesema kushabikia ni CHADEMA?