GE2025 Nawashangaa CHADEMA wanamshabikia Askofu Gwajima leo, ina maana wanasahau mapema kiasi hiki?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha.

Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa mtu mwema hiyo msahau hiyo ni kujidanganya ndugu zangu.

Nimeandika uzi huu kwasabu nimeona nyie wafuasi wa CHADEMA mnashoboka sana nimeamua niwasanue.

Huku CHADEMA hakuna viongozi Kuna masela wanaendesha chama kitapeli ndiyo maana
familia za viongozi wa chadema zote zipo kwa mabeberu
Si CDM wanamshabikia Askofu Bali wananchi wote wapenda amani ,wasiopenda umwinyi ,usultani ,na uwaji wa watu wasio na hatia .na uchaguzi usiona refer.

Lakn kubwa kulika Bibilia inasema wakati wa Bwana ni wakati sahihi na sisi hatuna budi kwenda na Askofu.

Aidha Wazee wetu walishasema HATA SAA MBOVU KUNA WAKATI INAKUWA SAHIHI
 
. Hujui kwamba mmegomea kushiriki shughuli za kisiasa wenyewe? Kama hamshiriki uchaguzi mnafaida gani kwa nchi?
Chadema imezuiliwa na mahakama mpaka kesi ya msingi iishe, hawaruhusiwi hata kwenda kwenye media kuongelea siasa kasoro JF.

TCRA wana fuatilia media zote zinazofanya siasa za chadema.
 
Kwahyo umeungana na gwajima
Gwajima amekataa utekaji mauaji uonevu manyanyaso kupora luzuku kuzuia mikutano kuwabambikia kesi za uongo chadema, kila mwenye Akili Timanu, Utu, ubinadamu, hofu ya mungu yupo na Gwajima lakini ibilisi mashetani wote wapo pamoja na wewe mbweha pepo mchafu
 
Hongereni kwakufufua watu.... MATAPELI WAKUBWA NYIE NA GWAJIMA
 
Kwa uchaguzi upi? Tanzania kuna uchaguzi? Maigizo ya kugombea na mzinzi Salum mwalimu wa chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm ni uchaguzi kweli?
OCTOBER TUNATIKI ✅ ✅
 
Umelelewa wapi?. Kwenye madanguro?. Umeanza kutukana wenzako Nyumbu, halafu ukijibiwa inaanza kulia.
Mpina anataka kugombea, Chadema wao hawashiriki huo ujinga, sasa ulitaka ajiunge na Chadema ili iweje, eti kwako hiyo umeona ni akili kubwa, Ccm nyie ni wajinga sana
 
Chadema mnasubri siku 10 za Gwajima 🤣
 
Hongereni kwakufufua watu.... MATAPELI WAKUBWA NYIE NA GWAJIMA
Wewe ndiyo Tapeli unatapeli pesa za ibilisi wa ccm kwa mkataba kuwa utawatetea mitandaoni kumbe unavuta Bangi kisha kuandika upumbavu mtupu , juzi mlimani city mmepokea michango ya wezi mafisadi matapeli wauza unga na kutakatisha pesa za waovu wote
 
Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha.

Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa mtu mwema hiyo msahau hiyo ni kujidanganya ndugu zangu.

Nimeandika uzi huu kwasabu nimeona nyie wafuasi wa CHADEMA mnashoboka sana nimeamua niwasanue.

Huku CHADEMA hakuna viongozi Kuna masela wanaendesha chama kitapeli ndiyo maana
familia za viongozi wa chadema zote zipo kwa mabeberu
Hii haifuti hoja za Mwajima, Hoja za Polepole, Hoja za wazee wa CCM wakongwe kina Jaji Warioba ba Mzee Butiku.
Na pia haifuti kauki ya No Reforms.. ya CDM.

Kwa hiyo ndugu kataa wahuni, iweke Tanganyika katika mikono salama yenye hofu ya Mungu.

Hakuna mabadiliko Uchaguzi haupo.
 
Kwa sasa yeyote anaonekana kuwa na mwelekeo wa kupigania nchi hii anaungwa mkono na chadema
 
Mtu yoyote anaeoongea vitu vya ukweli ambavyo CHADEMA na jamii inavipigania lazima aungwe mkono na CHADEMA. Haijalishi huyo mtu katokea pande gani?. Hivi kuna mtu mwenye akili timamu asieona utekaji ulivyoshamiri Tz?. Ni wewe tu na wenzio ndio hamulioni hilo swala. Hilo swala la utekaji lisikie tu kama unavyolisikia na kuliona la kawaida lakini waza tu Mfano anatekwa mumeo au mwanao mbele yako huku akipigwa na damu nyingi kumtoka,bado ukaliona la kawaida. Mfano Ashushushwe mtu mzima ndani ya basi,then anaokotwa katobolewa macho. Linaumiza sana hata kwa asie ndugu wa mhanga.
Katika matukio hayo GWAJIMA kajitanabaisha wazi anayapinga kwa nguvu kubwa. Na ndio mambo CHADEMA inayapigia kelele na ndio wahanga wakubwa,sasa amejitokeza mtu anawaunga mkono wazi kabisa,kwa nini wasimshabikie?
 
Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha.

Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa mtu mwema hiyo msahau hiyo ni kujidanganya ndugu zangu.

Nimeandika uzi huu kwasabu nimeona nyie wafuasi wa CHADEMA mnashoboka sana nimeamua niwasanue.

Huku CHADEMA hakuna viongozi Kuna masela wanaendesha chama kitapeli ndiyo maana
familia za viongozi wa chadema zote zipo kwa mabeberu

Chawa mnahsngaika sana na propaganda uchwarwa. Chadema wanaingiaje hapa.

Mjibuni Gwajima. Mjibuni Polepole. Ni wana CCM wenzenu.
 
Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha.

Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa mtu mwema hiyo msahau hiyo ni kujidanganya ndugu zangu.

Nimeandika uzi huu kwasabu nimeona nyie wafuasi wa CHADEMA mnashoboka sana nimeamua niwasanue.

Huku CHADEMA hakuna viongozi Kuna masela wanaendesha chama kitapeli ndiyo maana
familia za viongozi wa chadema zote zipo kwa mabeberu
Acha ujinga aseee!! CDM hawamshangilii gwajiboy bali wanakubaliana na hoja zake!! Acha ujinga aseee!!
 
Back
Top Bottom