GE2025 Nawashangaa CHADEMA wanamshabikia Askofu Gwajima leo, ina maana wanasahau mapema kiasi hiki?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM πŸ’š πŸ’š CCM πŸ’š
OCTOBER TUNATIKI βœ…
 
Mmchukueni kabisa mpeni kadi
 
Chadema punguzeni shobo basi
 
Kwahyo umeungana na gwajima
Wewe ndiyo umeungana na shetani umesahau kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake, yupo wapi ndungai sasa? Wapo wapi madikiteta hatari akina Elibashiri, makaburu, Bokasa, Rungu, mabutu, Chiluba, iddy Amin Dada, mangistu haile marium na wenzao?
 
CCM πŸ’š πŸ’š CCM πŸ’š
OCTOBER TUNATIKI βœ…
Kabla ya kutiki nakushauri pitia pale
muhimbili hospital kauli!ie gharama za dialisis kwanza. Kisha angalia ndugu yako akiumwa utamudu?
Pitia na mloganzila kwanza
Nenda amana hospital kaulizie dawa zipo? Damu kwa wagonjwa ipo?
UTATIKI KWASABABU HUNA AKILI, AKILI YAKO IMEJINGISHWA NA IMEVIA USAHA
 
Shida ya ibilisi wa ccm ni kuwatuma wavuta Bangi kuwatetea mitandaoni
 
Mtu akiwa mjinga atakuwa mjinga maisha yote hata akielimishwa ataendelea kuwa mjinga, same to mwaminifu, mkorofi, mshenzi, mtakatifu n.k. si ndio unamanisha hivyo....kwamba binadam ni static habadiliki....sifungamani na chama chochote lakini wengi wa mashabiki na wafuasi wa vyama vyote vya saiasa nchi hii ni wapumbavu kabisa.
Uhalifu unaondelea kama rushwa, kuuwana , kutekana, siasa chafu upo wazi na wanaoufanya wanajulikana na kuonekana dhahiri....lakini kuna mijitu imekaza mafuvu kuwa mfumo uliopo ni salama na wanaotaka ubadilike ndio wabaya....sasa huu tuuiteje!?
 
Nitamudu tu mkuu
 
Chadema, wamezuiliwa na mahakama kufanya shughuli zote za siasa, hujui hilo au umetumwa?
. Hujui kwamba mmegomea kushiriki shughuli za kisiasa wenyewe? Kama hamshiriki uchaguzi mnafaida gani kwa nchi?
 
Huna akili kabisa. Unakaa na kuandika mambo yasiyo na mantiki. Sasa chama hakishiriki uchaguzi ila wew na ujinga wako uko unahangaika na chama ambacho hakishiriki huo ujinga. Pole sana
 
Kwahyo Leo ndo mnamuona wa maana mmeshasahau mlikotoka, poleni sana
Wewe ndiyo unaona utekaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo chadema ni jambo la maana umesahau ulipotoka ulikuwa mbumbumbu hadi vyama vya upinzani vimekuamsha usingizini
 
. Hujui kwamba mmegomea kushiriki shughuli za kisiasa wenyewe? Kama hamshiriki uchaguzi mnafaida gani kwa nchi?
Sasa mkuu kama Chadema hawashiriki huo ujinga mbona mnahangaika nao. Kuna Chaumma,Act na vyama vingine vingi tu ,ila nyie Ccm kutwa mko na Chadema
 
CCM πŸ’š πŸ’š CCM πŸ’š
OCTOBER TUNATIKI βœ…
Kwa uchaguzi upi? Tanzania kuna uchaguzi? Maigizo ya kugombea na mzinzi Salum mwalimu wa chauma ubwabwa chama mchepuko wa ccm ni uchaguzi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…