Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Si CDM wanamshabikia Askofu Bali wananchi wote wapenda amani ,wasiopenda umwinyi ,usultani ,na uwaji wa watu wasio na hatia .na uchaguzi usiona refer.Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha.
Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa mtu mwema hiyo msahau hiyo ni kujidanganya ndugu zangu.
Nimeandika uzi huu kwasabu nimeona nyie wafuasi wa CHADEMA mnashoboka sana nimeamua niwasanue.
Huku CHADEMA hakuna viongozi Kuna masela wanaendesha chama kitapeli ndiyo maana
familia za viongozi wa chadema zote zipo kwa mabeberu
Chadema imezuiliwa na mahakama mpaka kesi ya msingi iishe, hawaruhusiwi hata kwenda kwenye media kuongelea siasa kasoro JF.. Hujui kwamba mmegomea kushiriki shughuli za kisiasa wenyewe? Kama hamshiriki uchaguzi mnafaida gani kwa nchi?
Wewe ndiyo nyumbu kwani tena nyumbu zezeta acha kushinda ghetto kwa Amos makala ukivuta bangi utawehuka bureUkiona wewe ni mpinzani halafu unamskiliza Gwajima ujue ww ni nyumbu
Gwajima amekataa utekaji mauaji uonevu manyanyaso kupora luzuku kuzuia mikutano kuwabambikia kesi za uongo chadema, kila mwenye Akili Timanu, Utu, ubinadamu, hofu ya mungu yupo na Gwajima lakini ibilisi mashetani wote wapo pamoja na wewe mbweha pepo mchafuKwahyo umeungana na gwajima
Hongereni kwakufufua watu.... MATAPELI WAKUBWA NYIE NA GWAJIMAGwajima amekataa utekaji mauaji uonevu manyanyaso kupora luzuku kuzuia mikutano kuwabambikia kesi za uongo chadema, kila mwenye Akili Timanu, Utu, ubinadamu, hofu ya mungu yupo na Gwajima lakini ibilisi mashetani wote wapo pamoja na wewe mbweha pepo mchafu
Mpina anataka kugombea, Chadema wao hawashiriki huo ujinga, sasa ulitaka ajiunge na Chadema ili iweje, eti kwako hiyo umeona ni akili kubwa, Ccm nyie ni wajinga sanaUmelelewa wapi?. Kwenye madanguro?. Umeanza kutukana wenzako Nyumbu, halafu ukijibiwa inaanza kulia.
Wewe ndiyo Tapeli unatapeli pesa za ibilisi wa ccm kwa mkataba kuwa utawatetea mitandaoni kumbe unavuta Bangi kisha kuandika upumbavu mtupu , juzi mlimani city mmepokea michango ya wezi mafisadi matapeli wauza unga na kutakatisha pesa za waovu woteHongereni kwakufufua watu.... MATAPELI WAKUBWA NYIE NA GWAJIMA
ibilisi wa ccm mnasubiri siku 10 za Gwajima?Chadema mnasubri siku 10 za Gwajima 🤣
Hii haifuti hoja za Mwajima, Hoja za Polepole, Hoja za wazee wa CCM wakongwe kina Jaji Warioba ba Mzee Butiku.Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha.
Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa mtu mwema hiyo msahau hiyo ni kujidanganya ndugu zangu.
Nimeandika uzi huu kwasabu nimeona nyie wafuasi wa CHADEMA mnashoboka sana nimeamua niwasanue.
Huku CHADEMA hakuna viongozi Kuna masela wanaendesha chama kitapeli ndiyo maana
familia za viongozi wa chadema zote zipo kwa mabeberu
Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha.
Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa mtu mwema hiyo msahau hiyo ni kujidanganya ndugu zangu.
Nimeandika uzi huu kwasabu nimeona nyie wafuasi wa CHADEMA mnashoboka sana nimeamua niwasanue.
Huku CHADEMA hakuna viongozi Kuna masela wanaendesha chama kitapeli ndiyo maana
familia za viongozi wa chadema zote zipo kwa mabeberu
Acha ujinga aseee!! CDM hawamshangilii gwajiboy bali wanakubaliana na hoja zake!! Acha ujinga aseee!!Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha.
Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa mtu mwema hiyo msahau hiyo ni kujidanganya ndugu zangu.
Nimeandika uzi huu kwasabu nimeona nyie wafuasi wa CHADEMA mnashoboka sana nimeamua niwasanue.
Huku CHADEMA hakuna viongozi Kuna masela wanaendesha chama kitapeli ndiyo maana
familia za viongozi wa chadema zote zipo kwa mabeberu
Acha ujinga aseee!! Kuna kosa gan kushangilia jambo la msingi lenye tija? Acha ujinga aseee!!Sasa kwani kushangilia na kukubali Kuna tofauti?