Mtetea haki popote anaungwa mkono..Mtu akiwa ni msaliti ujue huyo ni msaliti tu Yani usaliti upo damuni, usaliti ni sehemu yake ya maisha.
Kwahiyo nyie wafuasi wa CHADEMA msidhani mkimshabikia Askofu Gwajima akija kwenu atakuwa mtu mwema hiyo msahau hiyo ni kujidanganya ndugu zangu.
Nimeandika uzi huu kwasabu nimeona nyie wafuasi wa CHADEMA mnashoboka sana nimeamua niwasanue.
Huku CHADEMA hakuna viongozi Kuna masela wanaendesha chama kitapeli ndiyo maana
familia za viongozi wa chadema zote zipo kwa mabeberu
Tuseme ni kweli, sasa wewe unaumia nini? Hauoni kama wewe ni chizi?Chadema mnasubri siku 10 za Gwajima 🤣
Nimekuuliza wewe unaumia nini badala ya kujibu unaniuliza mambo ya ges, tatizo siyo lako ila ni mjinga anayewapa hii ajira ya buku7 ndiyo hana akili. Anaajiri mpaka watu kama wewe bora hata Lucas kidogo.Wewe ndo yule mpuliza mitungi ya ges?
Kwahyo Leo ndo mnamuona wa maana mmeshasahau mlikotoka, poleni sana
Naona umechanganya, wa ccm wanaitwa chawa; nyumbu ni hawa wasio na uwezo wa kutunza kumbukumbu na hufuata mkumbo tu.Nyumbu ni ibilisi wa ccm kwani nyumbu mbugani ni wengi kama walivyo ibilisi wa ccm ambao hushabikia utekaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo chadema