Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi Tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganIsha na klabu za Ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba ila najua Kuna masikini watakuja kuniambia nitafute pesa jamani Mimi pesa sijazipoteza ninazo
Ungekuwa umeishi Ulaya usingesema hivi. Ulaya kina Mo ni nothing. Tanzania wanapata ujiko wa kila aina na wana uhuru uliopitiliza. Wanaweza hata kuua na wasikamatwe. Na kingine.... Ulaya wana uwezo wa kwenda muda wowote watakapo.
 
Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi Tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganIsha na klabu za Ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba ila najua Kuna masikini watakuja kuniambia nitafute pesa jamani Mimi pesa sijazipoteza ninazo
Ungewahi kuishi nje ya Africa hata miezi sita Tu usingeandika HAYA.
Tanzania ni nchi ghali Sana na tamu sana (kimazingira) kuishi. Taste yake kuipata NI hakuna.
Ukizipata ela utarejesha mrejesho
 
YESU KAWAPA RIDHIKI ZAO ZIPATIKANE TANZANIA WAENDE WAPI SASA ULIPO UGALI NA MBOGA INATAKIWA IWEPO HAPO HAPO
Wao wanajua nini wanafanya. Wako hapo kwa sababu ya fursa walizopata Tanzania kuwafanya wawe matajiri. Hii ni nchi inayokimbiliwa kutengeneza pesa kwa miaka mingi hadi vitukuu
 
Bongo ni pazuri sana ukiwa na pesa Jombaa usifanye mchezo. Hapa maisha ni matamu sana sana sana sana narudia tena maisha ni matamu.

Nchi za dunia ya kwanza zinawafaa sana watu masikini kwa ssb ya ubora kiwango cha maisha kwa matabaka yote ya watu ukilinganishana na kwetu. Pia wingi wa uwepo wa fursa za kuingiza kipato kwa watu wa chini.
Wewe hauwezi kuwa serious kwa hii comment yako hata kidogo..

Kuna utamu gani wa hapa Bongo? Labda kama unaongelea kunufaika na corrupted systems zilizopo Kila mahali ambapo ukiwa na hela unaweza kufanya chochote na ku get away with it.

Lakini tukija kwenye uhalisia wa maisha, ni shida tupu kwa wote wenye hela na wasio na hela...

Naamini kabisa Sasa hivi hapo ukirudi nyumbani kwako halafu ukaambiwa mtoto wako amemeza sindano na imekaa sehemu mbaya na anahitajika kufanyiwa operation ya haraka sana ndani ya masaa 36, kwa haraka haraka hapo utaanza kufikiria safari ya kumpeleka India, na wakati kwa mtu anayeishi dunia ya kwanza kwa scenario kama hii Wala hawezi hata kufikiria kuvuka mipaka ya nchi yake kwa Sababu hapo hapo tu nchini kwake atapata huduma Tena kwa wakati.

Kwa hiyo huku dunia ya tatu Kuna baadhi ya huduma hata uwe na mihela yako huwezi kupata ambapo kwa dunia ya kwanza ni za Kawaida sana .
 
Akili Yako haipo sawa yaani Tanzania ni nchi nzuri jaribu kutembea kidogo nchi za Europe au American utakuja kufuta huu utumbo wako na utajilaumu sana hujatembea wewe
Wewe akili yako ndio haipo sawa
 
Akili Yako haipo sawa yaani Tanzania ni nchi nzuri jaribu kutembea kidogo nchi za Europe au American utakuja kufuta huu utumbo wako na utajilaumu sana hujatembea wewe
Wewe akili yako ndio haipo sawa
 
Tanzania ni nchi nzuri sana ukiwa na fedha!

Vyakuka vya asili plus kushobokewa na wabongo Raha sana!

Akienda India atakonda wiki tu,maskini.wa india wanatisha sana hasta chakuka TU ukiwapa wanalia machozi Kwa shukrani !sio kama hapa bongo msosi sio ishu sana!
 
Toddler: 1-3 years
Child: 4-12 years
Teenager: 13-19 years
Young Adult: 20-35 years
Adult: 36-60 years
Elder: 61+ years
Wewe miaka 45 ni mzee kama wewe unamiaka 45 jihesabie ni mzee acha habari zako za kujiona mdogo
 
Back
Top Bottom