ScaniaR
Member
- Oct 4, 2024
- 52
- 97
Yesu mwenyewe alikuwa akipata rizki yake kutoka kwa aliyemuumba. Kumbe na yeye alikuwa akitoa pia?YESU KAWAPA RIDHIKI ZAO ZIPATIKANE TANZANIA WAENDE WAPI SASA ULIPO UGALI NA MBOGA INATAKIWA IWEPO HAPO HAPO
Sawa ila jua Yesu alikuwa maskin hata hakuwa hata na nyumba hivyo ikamlazimu kuishi kwa kuhama hama.