Wewe hujui Tz kuna fursa nyingi na hakuna ushindani wa kibiashara ukienda huko unakosema wenye mitaji ni wengi sana hawa akina mo na bahresa ni kama machinga tu bro hata hapo kenya kupenya kibiashara ni kazi kwani matajiri ni wengi na fursa ni finyu.Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganusha na klabu za ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba