ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Akili za masikini bana.........Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganusha na klabu za ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba
Wao fursa zao zipo hapa.....
Ukiwa na pesa Tanzania unaishi maisha ya anasa kuliko ulaya.
Mo na Bakresa Tz ni miungu watu.
Wakienda ulaya wanageuka ushuzi tu