God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Watu wajinga Kama nyie hata mpigwe ban huwa hamuishi mnakufa na kuzaliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania hamna sehemu nzuri ufananishe na Europe utakua saa mbovu weweHapahapa Bongo kuna sehemu nzuri kama hizo nchi ulizotaja. Huzijui kwa sababu huna exposure.
Pia, Mo anaishi Dubai.
Masikini mbona unahasira sanaWatu wajinga Kama nyie hata mpigwe ban huwa hamuishi mnakufa na kuzaliwa
Europe ulienda nchi gani?Wewe naongea hivi Kwa kumaanisha mwaka Jana nilikua Europe nilivyorudi bongo niliona utofauti kabisa
Hauishi nje wewe. Itakua upo usingizini amkaNaishi nje lakini bado naipenda Tz sana
Kuna maisha bongo kama una hela
Hao ukienda nyumba wanazoishi huwezi sema uko tz
Africa ina hali ya hewa nzuri kuliko most of European countries
Una kila kitu halafu unalalamika
Hela inaweza kumfanya awe na sehemu kila mahali kwa kupumzika
England niliposhuka tu kwenye ndege nilijiona kama nimeingia peponiEurope ulienda nchi gani?
We uko msitu gani ,sidhani kama hata ndege umewahi kupanda .Wewe ni shoga nini? Eti Mo na B hawafai kuishi bongo kama huna kazi njoo nikupe kazi kuparamiwa.We ni nyani siwezi kushangaa ukikaa Tanzania milele sababu ni bara la manyani
Haina shida maana hakuna mashindano ya kuishi humuHauishi nje wewe. Itakua upo usingizini amka
Nyani hua mnakua na hasira sana haya chukua ndizi uleWe uko msitu gani ,sidhani kama hata ndege umewahi kupanda .Wewe ni shoga nini? Eti Mo na B hawafai kuishi bongo kama huna kazi njoo nikupe kazi kuparamiwa.
SawaHaina shida maana hakuna mashindano ya kuishi humu
Sawa nyaniSema kitu nilichojifunza ni kuwa wajinga mnkufa na kuzaliwa upya
Endelea kubeti na kucheza dube
Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganusha na klabu za ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba
Wewe dogo ni mpumbavu sana, kuna mabilionea wengi zaidi ya Bakhresa na Mo hapa Africa na hawana ndoto za kuhamishia makazi ya kudumu MarekaniUkubwa jinga majuto
Mzazi wangu hayupo TanzaniaWe masikini unawezaje Ku to a ushauri Kama huo kwa watu waliokuzidi
Umri
Akili
Pesa
Mali
Na maono.
Hayo mambo kamshauri mzazi wako
Mtoto mzuri kama wewe njoo nikupe kazi basi.Nyani hua mnakua na hasira sana haya chukua ndizi ule
Kubwa jinga naona umechambua utumboWewe dogo ni mpumbavu sana, kuna mabilionea wengi zaidi ya Bakhresa na Mo hapa Africa na hawana ndoto za kuhamishia makazi ya kudumu Marekani
Ndivyo na mabilionea walio Asia kama akina Amban na wengine Latin America hawafikirii ujinga wako
Popote ilipo hazina yako ndipo moyo wako ulipo
By the way shule za kata zimeleta matatizo mengi sana nchini
We mjinga tu haujitambui na mada zako za hovyo.Mzazi wangu hayupo Tanzania