Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

Wewe dogo ni mpumbavu sana, kuna mabilionea wengi zaidi ya Bakhresa na Mo hapa Africa na hawana ndoto za kuhamishia makazi ya kudumu Marekani

Ndivyo na mabilionea walio Asia kama akina Amban na wengine Latin America hawafikirii ujinga wako

Popote ilipo hazina yako ndipo moyo wako ulipo

By the way shule za kata zimeleta matatizo mengi sana nchini
Huyo dogo Ana ujinga mwingi
 
Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganusha na klabu za ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba
Europe na America wameipeleka masaki na obay....Hawakutani na vumbi wala joto hao jamaa.
 
Back
Top Bottom