Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

Mambo ya jf bhana...... unaweza ukajikuta unabishana na mtoto wa sekondari anayetumia WiFi ya bure nyumbani huku amelala kwenye Kochi.....

Btw
Mimi nadhani ni machaguo kwenye maisha....kama ambavyo wewe umeona haifai ndio wao wameona inafaa kuishi Tanzania.....

Kama ambavyo kuna watu wenye ukwasi mkubwa huko mikoani lakini hawana shauku ya kuja kuishi Dar es salaam ambayo kwa wengine wanaiona kama New York..........

Maisha ndivyo yalivyo......
Kweli Mimi nmjua mtoa mada jikijana mwenye tatizo waweza soma nyuzi zake
 
Huna marinda wewe uliyatoa Ili upate pesa. Na pesa yenyewe hujapata umebaki kuharisha hovyo,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tajiri ulietoka ulaya, unahangaishwa hata na wadada wa mtaani kwako, wanakuzungusha sababu wanajua wewe ni msaanii na kapuku wa kiwango cha lami, na zaidi nani anataka kulea mgonnjwa mwenye ugonjwa wa "dida" unasingizia vidonda vya tumbo
 
Tanzania (Dar es Salaam) ni mahali salama sana pa kuishi, haswa ukiwa na UHURU WA KIPATO. ukiilinganisha na nchi nyingi za Africa na duniani. Amani,upendo,ukarimu kwa wageni na wenyeji vimekua kipaumbele kwa hii nchi yetu. Ishi milele TANZANIA nakupenda kwa moyo wangu wote.
 
Tajiri ulietoka ulaya, unahangaishwa hata na wadada wa mtaani kwako, wanakuzungusha sababu wanajua wewe ni msaanii na kapuku wa kiwango cha lami, na zaidi nani anataka kulea mgonnjwa mwenye ugonjwa wa "dida" unasingizia vidonda vya tumbo
Wewe nakujua huna marinda hunipi shidaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tajiri ulietoka ulaya, unahangaishwa hata na wadada wa mtaani kwako, wanakuzungusha sababu wanajua wewe ni msaanii na kapuku wa kiwango cha lami, na zaidi nani anataka kulea mgonnjwa mwenye ugonjwa wa "dida" unasingizia vidonda vya tumbo
Magonjwa ya akili hayo
 
Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganusha na klabu za ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba
Nakukumbusha pia Mo alishatekwa na kuteswa vilivyo hapahapa nchini
 
Wewe nakujua huna marinda hunipi shidaaaaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tajiri christopher paul ulietoka ulaya, unahangaishwa hata na wadada wa mtaani kwako, wanakuzungusha sababu wanajua wewe ni msaanii na kapuku wa kiwango cha lami, na zaidi nani anataka kulea mgonnjwa wa ukimwi unasingizia vidonda vya tumbo..
 
Wewe huna marinda ulithibitisha mwenyewe kwamba upo tayari kugwa kitobo Ili upewe pesa hivyo hunisumbuiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Maskini ndo anatakiwa akimbilie Ulaya kutafuta hela. Bongo ukiwa na hela ni patamu mno. Halafu hela huwa haitoshi mkuu. Bill Gates na Jeff Bezos bado wanazisaka ije kuwa Mo na Bakressa? Halafu bongo bado bikra wa fursa nyingi sana.
 
Wewe huna marinda ulithibitisha mwenyewe kwamba upo tayari kugwa kitobo Ili upewe pesa hivyo hunisumbuiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Back
Top Bottom